D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Diamond aende mazishini,lakini nae alikuwa na tuhuma kumuua Girlfriend wake mwaka jana,isije ikawa kisasi
Kwa msimu huu, ndio uwezo wetu ulipoishia.Kila siku Arsenal anapondosha points nakumbuka mechi ya Palace na Arsenal away na ile ya juzi vs Leeds.
5 points dropped kizembe tu tena kipindi ambacho tupo kwenye form nzuri.
Hapana..uwezo haujaishia hapo.Kwa msimu huu, ndio uwezo wetu ulipoishia.
Mimi naamini Tungekuwa na DM backup ya Casemiro na Striker.
Hizo mechi zote nafasi ya kushinda ilikuwa kubwa.
Mpaka sasa top 4 naiona tayari imekamilika sioni timu inayoweza kuleta ushindani kwa timu nne za juu.Umuhimu wa kushida mechi zote ndo huu.
Uwezo upo basi tu. Tukiachana na mechi zilizopita, tunapaswa kuchukua points 6 kwa Leeds na Leicester na sioni sababu ya kutuzuia. Uwezo tunao, wale jamaa pale juu inatakiwa tuende nao sambamba mpaka mwisho wa msimu kitaeleweka.Kwa msimu huu, ndio uwezo wetu ulipoishia.
Mimi naamini Tungekuwa na DM backup ya Casemiro na Striker.
Hizo mechi zote nafasi ya kushinda ilikuwa kubwa.
Msimu huu ni mrahisi sana. Just imagine tunadondosha points ila bado utofauti wetu na anayetuzidi ni chini ya points 12. Kumbuka City na Arsenal wana mechi mbili baina ya wao kwa wao.Uwezo upo basi tu. Tukiachana na mechi zilizopita, tunapaswa kuchukua points 6 kwa Leeds na Leicester na sioni sababu ya kutuzuia. Uwezo tunao, wale jamaa pale juu inatakiwa tuende nao sambamba mpaka mwisho wa msimu kitaeleweka.
Msimu ule 21/22 tulikuwa vzr pia...Kuna mechi tatu tulifanya ujinga.Msimu huu ni mrahisi sana. Just imagine tunadondosha points ila bado utofauti wetu na anayetuzidi ni chini ya points 12. Kumbuka City na Arsenal wana mechi mbili baina ya wao kwa wao.
EPL sio rahisi kihivyo.Uwezo upo basi tu. Tukiachana na mechi zilizopita, tunapaswa kuchukua points 6 kwa Leeds na Leicester na sioni sababu ya kutuzuia. Uwezo tunao, wale jamaa pale juu inatakiwa tuende nao sambamba mpaka mwisho wa msimu kitaeleweka.