Hii game haikupaswa kufika kwenye penati na inaonekana Moyes hakuandaa timu kwa penati.Now nguvu zote tuhamishie EPL,Moyes tayari ameanza vizuri kwenye usajili naamini mwisho wa msimu tutapata viungo wanaotufaa.Nilipendelea sana kumpata Vidal au Cabaye
Yaani moyes hamna kitu galasa kupita maelezo anamwacha mchezaji mdogo mwenye miaka 18,acheze dk 120 (januzaj)anamtoa kagawa experienced player,ambae alikuwa ana dictacte game kiasi kikubwa walau na kuanzisha mashambulizi.kwa sasa kilichobakitujiliwaze na kumchukua mata tu ila kocha kwa kweli hatuna tukubali tukatae,kocha hajui kupanga kikosi,kocha hajui kufanya sub,kocha hajui kusajili,kocha hajui kuwatia wachezaji morali,kocha hajui kupangwa wapigaji penlaty(usiniulize nilitaka apige yy??,ilibidi awatrain haiwezekani wachezaji wa4 wote wakose penalt huo ni us...) anchojua yy ni kumnyima namba kagawa tu na kujaza waingereza ndani poor him,in moyes i dont trust.
Dah hata sijui nifanye nini ili usingizi uweze kuja huyu ---- anayeitwa moyes amenitibua sana kila nikiwaza nawaza kipigo cha leo hata sijui niwaze nini nijipooze na machungu haya.-oh nimepata jibu ngoja niwaze party ya jumamosi tu escape one.
man utd kichefuchefu,hii gemu haikuwa ya kufika kwenye matuta,haya wamefika kwenye matuta wapigaji kama wamefungwa mawe kwenye miguu....kwa upande mwingine Moyes bado ni tatizo...ingekuwa maamuz yangu angeshaondoka siku nyingi sana
At least we have Mata for a medical tomorrow...with him, Vidal and Fabio, United will be okay for this season.....
Hahahaha nasikia JUAN MATA KAJIFELISHA medical eti alisahau peni na karatasi hii yote ni kuwa hataki kuchezea timu mbovu
Sasa tunamfukuza moyes
Sasa utaona maajabu pale watu watakaposema DM aondoke!!
Wachezaji wanakosa penati, sasa kocha ana kosa gani?!
Ebu mlete Juan United Mata.....
hadi mwezi wa tano ufike mengi yatatokea..Hahaaa vumilieni hamjazoea kubanduliwa eeeh
kuna baadhi ya mashabiki wa jabu etiBora tukazibubue vizibo tu njombaaaa huku OT siko Huyu jamaa Moyes atatuua kwa presha...nshagombana na mke wangu hapa home saa 11 alfajir nshaondoka kiguu na njia kazini
Dah hata sijui nifanye nini ili usingizi uweze kuja huyu ---- anayeitwa moyes amenitibua sana kila nikiwaza nawaza kipigo cha leo hata sijui niwaze nini nijipooze na machungu haya.-oh nimepata jibu ngoja niwaze party ya jumamosi tu escape one.
kuna baadhi ya mashabiki wa jabu eti
hawataki kumlaumu dm kwa kuwa wachezaji wenyewe ndo wamekosa penlaty sasa umemtoa kagawa umemuacha januzaj alitegemea timu icheze vipi vizuri na wakata januzaj alikuwa kachoka sana,anajipigia tu mashuti sehemu za kutoa pasi,game haikupaswa kufika penalty wachezaji wanajifanyia tu makosa mengine ya makusudi anwaacha hawafanyi mabadiliko mtu kama fletcher na carrick(bahati yake aliumia) walikuwa floppy of the match
Ndugu yangu utapata tabu sana,mambo hayatakuwa rahisi kama unavyofikiri.Hii sababu ya Kagawa ni nonsense Januzaj ni mmoja ya wachezaji wanaoibeba timu kwa sasa pamoja na umri mdogo Kagawa anapata nafasi lakini still hajatoa msaada wowote kwenye timu