Manchester United (Red Devils) | Special Thread

At least ndiye anaeonekana walau ana ahueni ! Kina Trent, fabinho , mo, Gakpo, Nunez, Thiago, vvd(before injury) Nani alikuwa na kiwango Bora ? Mpira Ni mchezo wa wazi kila mtu anaona !
 
Bado wanamwacha Phil Jones? Kenge maji kweli
 
Oooh Martinez ni andunje hawezi kukaa beki yule pale tumepigwa atachomesha sana yule kama Maguire.
Mwana anapiga kazi kichizi
 
Oooh Martinez ni andunje hawezi kukaa beki yule pale tumepigwa atachomesha sana yule kama Maguire.
Mwana anapiga kazi kichizi
Jamaa anapiga kazi sio powa mkuu,,,, spirit iko juu Sana !

Kama sio ETh angekuwa arsenal now ,,,,!

Eth aliwahi kusema kuwa last summer kidogo tu jamaa aende arsenal, licha akampigia simu akamuambia anatamani kuja EPL na anadhan atasain arsenal, akamwambia Kama unanihitaji nitakuja utd,,,, !!! Na ikawa hivyo !

What a player
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…