Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rufaa ikifeli kifungo chake kinaongezewa mechi moja, badala ya kukaa nje mechi 3 atakaa nje mechi 4.
Kwa nini kiongezeke? Leeds (H), Leeds (A) na Leicester (H) bila Casemiro hizi mechi tunaweza kushinda bila shida ila sio final na Newcastle hasa hasa ukizingatia Bruno Guimaraes atakuwa amemaliza adhabu yake ya mechi 3 nae.
 
My name is Carlos Henrique 𝐂𝐚𝐬𝐢𝐦𝐢𝐫𝐨.

I remember that I played a game for Sao Paulo and the club got name wrong. They wrote it with an ‘E’.

𝐈 𝐩𝐥𝐚𝐲𝐞𝐝 𝐫𝐞𝐚𝐥𝐥𝐲 𝐰𝐞𝐥𝐥 and said to them ‘Just leave like that as things are going well’.”
 
Unapoteza mechi then unakimbia jukwaa.....

Teh teh teh
huu utoto nimeushuhudia kwenye thread ya ARSENAL kwa baadhi ya wafuasi wao, nafikiri kuna wanadamu wapo Tanzania na wanaufanya mpira wa ulaya kama ni sehemu muhimu ya maisha yao.

Tunajizalishia matatizo wenyewe
 
Nacheki gemu ya Spezia na Napoli..Huyu Osimhen yupo good sana on air..

Tukichukuwe hiki chuma.
Manchester haiwezi kumsajili Osimhen kwanza bei yake tu ni kufuru.

Kama Napoli walimsajili kwa millioni 80 unadhani sasa hivi wanaweza kumwachia kwa pesa ndefu kiasi gani ?

Napoli hawawezi kumwachia chini 150-200.
 
Sinasikia umehamia arsenyeto
Timu tokea kuumbwa mbingu na nchi haijawahi kucheza fainali ya Uefa hata mara nihamie huko kwende kufanya nini?
Yaani Flano mimi niwe mshika ukuta wa London kweli?
Hebu Carrasco putin nitake radhi aisee.



Wadau wamenisahihisha:

2005-2006 Uefa Champions League Final
Stadium: Stade De France
Barcelona 2 - Etoo (76) Belleti (80)
Arsenal 1 - Sol Campbell (37)
Man of the match Samuel Et'oo
 
Kwani Bruno ama adhabu??
Kwa nini kiongezeke? Leeds (H), Leeds (A) na Leicester (H) bila Casemiro hizi mechi tunaweza kushinda bila shida ila sio final na Newcastle hasa hasa ukizingatia Bruno Guimaraes atakuwa amemaliza adhabu yake ya mechi 3 nl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…