kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,777
- 20,696
Hata hio 40m summer hatutampata, usisahAu kuwa timu za epl Zina nguvu kiuchumi hawana njaa ,,, kunegotiate nao kazi Sana !Palihna tulizingua wenyewe msimu uliopita miezi kama hii Sporting Lisbon walikuwa wanataka euro 20M tu. Ralph ali-recommend yeye na Enzo akiwa River Plate naye bei yake ilikuwa euro 18M.
United huwa tunaingia sokoni muda ambao ni rahisi kupigwa pesa ndefu. Unafikiri Fulham watatuacha salama hapo? Hawawezi kumuuza chini ya pound 40M. Usisahau pesa kwa sasa hatuna priority ni mshambuliaji wa kati majira ya kiangazi.
Huko Marseille kwenyewe ashafungiwa kwa kucheza rafu za kuua.Baily nilikuwa namkubali sana ila cheza yake sasa reckless sana
McTominay ni wa kuuzwa Newcastle hukoHuwa namuangalia anavyokichafua naishia kusonya tu ,,,, eti tominay ndo mmbadala wa casemiro
Yes. Victor Osimhen hapo hakuna mjadala bila euro 100M hatumpati na jambo jema kwetu yule dogo anaitaka United. Mwezi wa 8 mwaka jana Napoli walikuwa tayari kutuuzia ila priority kwa Ten Hag ilikuwa ule upande wa kulia (Antony).Hata hio 40m summer hatutampata, usisahAu kuwa timu za epl Zina nguvu kiuchumi hawana njaa ,,, kunegotiate nao kazi Sana !
Alafu nafasi hio sio target kwetu, tunahitaji cF,, tutAenda kupigwa kitu kizito kwa victor wa Napoli au vlahovic
Summer rice atauzwa over 100m , same applies to caicedo,!
Rufaa ikifeli kifungo chake kinaongezewa mechi moja, badala ya kukaa nje mechi 3 atakaa nje mechi 4.Huyu refer aliyempa casemiro Reds
Hivi rufaa hairusiwi wajuzi wa soka Msaada
VAR ina u-snitch sana jinsi ile slow motion ilivyoonyesha utafikiri he was choking that boy for hours kumbe zilikuwa sekunde kadhaa tu.Maana halisi ya Kiungo mkabaji,
Casemero amejuaje kitendo alichokifanya kwenye lugha yetu ya kiswahili kinaleta maana sahihi kabisa kwenye nafasi anayocheza?
View attachment 2507370
Kwa nini kiongezeke? Leeds (H), Leeds (A) na Leicester (H) bila Casemiro hizi mechi tunaweza kushinda bila shida ila sio final na Newcastle hasa hasa ukizingatia Bruno Guimaraes atakuwa amemaliza adhabu yake ya mechi 3 nae.Rufaa ikifeli kifungo chake kinaongezewa mechi moja, badala ya kukaa nje mechi 3 atakaa nje mechi 4.
Ndugu zako Asenyo wamepoa sana hebu nenda kawachangamshe kidogo.Manyumbu mpo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu zako Asenyo wamepoa sana hebu nenda kawachangamshe kidogo.
Mitoma is something aise!!Daichi Kamada - frankfurt
Mitoma - brighton
Wataru endo - stuttgart