Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Marcel is vibe. Atatuongezea thamani sana.
 
Wa-South America hawana kazi za kuremba hata Portuguese wanapiga sana kazi mf. Bruno na Dalot. Ila kazi chafu zote ni wazee wa South America na ule ubabe wao ndiyo unajenga mentality ya ushindi kwenye kikosi ndiyo maana ile red card ya Casemiro nimeikubali wale jamaa walistahili kupigwa mtiti na points 3 wameziacha.
 
Watu wanademand offensive impact yake Kwan alinunuliwa Kwa ajili ya shughuli ya kuzuia?
kocha wake anamjua kuliko sisi ,,,,kafanya nae kazi ajax ! Ana impact kubwa Sana kwenye mechi,,,,, ule upande anaocheza anasaidia Sana ! Usikariri magoli na assist ! Collectively Yuko vizuri sana

Angalia bruno anavyocheza now, siku hzi hafungi sana Wala assist,,,, Ni punguani pekee atakayesema Bruno amedrop !
 
Siwezi kumlaumu Antony yule jamaa wa Palace kamsukuma makusudi halafu anamuangalia kidharau.

Safi sana wachezaji wamemtetea dogo, hawa wachezaji wa Palace wahuni, muhimu tuwapige hivihivi tukiwa na red card.
Yaani kuna watu wao kila kukicha ni Antony wanajaribu kumtafutia ubaya hata kwa tochi kwangu mimi Antony bado ni mchezaji bora sana namuona akitimiza yale majukumu anayopangiwa na kocha ya kutanua uwanja na kuacha space kwa attacking midfielders na maforward.
 
mKuu unafanya kosa kubwa sana kutomtaja LISANDRO MARTINEZ [emoji38][emoji23]
 
Jamaa hua analeta balance sana kwenye timu ila show off zake za kijinga anatakiwa abadilike.
Mimi hua ananifurahisha sana na yale mashuti yake nje ya box.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…