mnamahaba san na athony kisa ni mshabik wa man anaenda kucheza cheza ujinga anamsababishia card casemiro ya kijinga ona itakavyokuja kutugarimu pengo kubwa sana athony sio mchezaj kabisa gernacho kaingia tu katoa mchango wa goli la pili mapema tu yeye anaenda kucheza kweny chaki ifike time ata kam ww ni man u ukubali athony anachelewesha ushindi