kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,773
- 20,681
Kuna vitu viwili nimevitaja hapoMahakama Si imemuona hana hatia? Sasa uchunguzi wa mahakama na wa klabu upi upo makini?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kuna kiongozi mmoja wa simba alishtakiwa kipindi fulani huko nyuma ila baadae mahakama ikaona Hana hatia, juzi ameenda kuchukua nafasi za kugombea uongozi, club ya simba ikakata Jina lake kutokana na Sakata lake la mahakama...japo mahakama ilimuona Hana hatiaMahakama Si imemuona hana hatia? Sasa uchunguzi wa mahakama na wa klabu upi upo makini?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kuna baadhi wa Mashabiki mtandaoni wanasema Greenwood akirudi itawahuzunisha sana..na wengine wanasema watakuwa wanamzomea..Haya ndo yanafanya hii ngoma kuwa ngumu.Mahakama Si imemuona hana hatia? Sasa uchunguzi wa mahakama na wa klabu upi upo makini?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Yeah,,,Kuna kiongozi mmoja wa simba alishtakiwa kipindi fulani huko nyuma ila baadae mahakama ikaona Hana hatia, juzi ameenda kuchukua nafasi za kugombea uongozi, club ya simba ikakata Jina lake kutokana na Sakata lake la mahakama...japo mahakama ilimuona Hana hatia
So kwa scenario ya Mason, tuipe muda club ijiridhishe kwanza.. Wenzetu wapo Makini kidogo hasa kwa kosa alilokuwa anatuhumiwa wanalichukulia seriously mno, mahaba yote kwa mchezaji wameweka pembeni...
Let's wait, time will tell
Ngoma ngumu mkuu,,,, naona pia club ime-act smart Sana kwa kusema bado wanachunguza kujiridhisha !!!!Kuna baadhi wa Mashabiki mtandaoni wanasema Greenwood akirudi itawahuzunisha sana..na wengine wanasema watakuwa wanamzomea..Haya ndo yanafanya hii ngoma kuwa ngumu.
Amekua na msimu mbaya sana aiseAnthony Martial is carrying another injury
Sean dyche kawafundisha adabu..Arsenal wamenyanduliwa huko !!!!
What a day !
Aseno tayariFixture za mchana huwa kichomi sana unaweza kuta ndiyo unakuwa kubwa jinga la week.