D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Wasiwasi wangu Hawa wahuni kuna mechi watakuja kutuharibia, chelsea ndio timu pekee inayoweza kufungwa mechi 4 mfululizo kwa msimu mmoja dhidi ya mpinzani mmojaManchester united 3 vs Nottingham forest 1
Sabitzer ni aina ya wachezaji ambao ten Hag anawapenda wenye work rate kubwa sana kama Bruno, Casemiro, Lisandro au Malacia. Uchezaji wake ni ule wa wafia timu.Nimeona clip zake jamaa anapiga free kicks sana pia ana magoli mazuri ni mtu wa mashuti kama bruno.
kwani hili jukwaa la arsenal la mau u au la wanasport wote mbona arsena8 mnatuvurugaPamoja Mkuu, ila lile jukwaa lenu ni changamoto sana aiseeee, kuna vichwa mule vimevurugwa hatari, kuna watu mule walikua kila kukicha kumlalamikia Lukonga kua hafai ila baada ya kutolewa kwa mkopo haohao wanalalamika tena kwa nini Lukonga anaondoka wakati Elneny ni majeruhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UnakatwaFainal ni NEWCASTLE VS NOTTINGHAM FOREST
KILA LA KHERI NOTTINGHAM FOREST [emoji91][emoji91][emoji91]
WAPEMBA NDIO WANAJUA KUTUMIAWazee hili chama lenu mnataka linunuliwe na waarabu au wamarekani?
Arabians wana mapeneWazee hili chama lenu mnataka linunuliwe na waarabu au wamarekani?
Samuel luckhurst amekuwa mpayukaji sanaTetesi( Samuel Luckhurst) zinasema tutasajili,
New GK
Younger Midfielder
Striker
Shekhe Yahaya kumbe hukufa bado upo hai? [emoji28][emoji28][emoji28]Tuwaambie Ukweli manyua kuwa hatoki kwa Newcastle fainali Carabao au tuwaache Kwanza?
Ikifika mida ya saa tano kasoro jisogeze kwenye kibanda umiza chochote kilicho karibu na wewe ukashuhudie kwanza bakora atakazo kula Forest leo halafu uje ufute hio kauli yako ya kinajimu.Tuwaambie Ukweli manyua kuwa hatoki kwa Newcastle fainali Carabao au tuwaache Kwanza?