Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sisi kiupande wetu nadhani dirisha tushafunga kikosi ndo hiki mpaka dirisha kubwa.

Maboss wamegoma kutoa hela kabisa wamesema hawawezi kutoa hela na timu wanaipiga bei kwaiyo tuvumilie tu hakuna kusajili.
 
Kuna tofauti kati ya kugoma kutoa fedha na kutokua na fedha ya kutoa.

Maboss wamekaukiwa fedha ya kutoa na hata dirisha kubwa kuna hatari ya ufinyu wa bajeti.

Ni mwendo wa kuuza ndipo tununue.
 
Hali kama hii iliwai kuitokea timu yangu ya FC bandari ya tanga tukaanza kupoteza mechi mpaka tukashuka daraja kwa kweli nililia saana
 
Sisi kiupande wetu nadhani dirisha tushafunga kikosi ndo hiki mpaka dirisha kubwa.

Maboss wamegoma kutoa hela kabisa wamesema hawawezi kutoa hela na timu wanaipiga bei kwaiyo tuvumilie tu hakuna kusajili.
Hapa kikubwa cha kuomba ni kabla ya huu msimu kuisha Glazzer awauzie timu wale Waqatar.
 
Elanga to Barcelona, here we go! Deal agreed on £10m fee, Barcelona accept conditions and documents are being prepared
#BFC

Personal terms agreed, contract until 2027 with option further for a year.

First contact revealed yesterday night — medical booked.

Ole, key factor.

Comment ziwe fupifupi sanaa fupi sana
 
Still tuna timu competitive, japo Ericksen atakaa nje mda mrefu !!!

Wacha tuone, tunaweza kuwa suprised na usajili wa last minute ,,,,, !!!!!

Wasiwasi wangu Hawa waliopo kina case,Scott, Bruno na fred wasije pata injury,,,tuna mechi nyingi Sana!
 
Huyu marcel sabitzer (spelling Sina hakika) anaehusishwa kujiunga na sisi anaweza kuwa potential mpaka mwisho wa msimu !!!! Hakuna Namna maji shingoni, Bayern wanaweza kutukazia !

Xavi akimpata amrabat anaweza kutuachia Kessie mpaka mwisho wa msimu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…