Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FA
Carabao
EPL
EUROPA

Tuna mechi nyingi mbeleni, tutaweza kuziafford ?

Tayari Ericksen injury,,,,
Inavyoonekana hakuna usajili wowote unaotegemewa hii January,,,,

ikitokea suprise ni bonus kwetu !!

#GGMU
Target msimu huu ni top 4. Kombe lolote hasa hasa Carabao tutakuwa sawa tu. Kikosi kilichopo tunaweza kufikia hayo malengo as long as Casemiro atakuwa fit kwa 100%.

So far, ten Hag ameni-surprise sana sikutarajia kama tungefika hapa. Binafsi sioni haja ya kuingia sokoni tusubiri majira ya kiangazi na ndio muda sahihi kupata wachezaji wazuri. Seasonal projects za timu mbali mbali zinakuwa zimekamilika na inakuwa rahisi wao kuachia wachezaji.

Hapo juu nimemtaja Casemiro kwa ssb ndiye mchezaji pekee ambaye kwa United hatuna mchezaji hata mmoja anaweza ku-cover nafasi yake hata kwa 5% tu. Hao wengine tunaweza kucheza bila wao na timu ika-balance bila shida japo tuta-struggle kidogo.
 
Hivi bayern munich hawawezi kutupa gravenberch kwa njia ya mkopo akaungana na erik ten hag?
View attachment 2500415
Haitakuwa rahisi kwa sasa huyu ni squad player kumbuka Bayern wana UEFA, DFB-Pokal na Bundesliga.

Majira ya kiangazi ndio itakuwa rahisi kumpata maana tayari Bayern wamemalizana na Konrad Laimer kutoka Leipzig.
 
Baada tu ya kusikia kuwa Chelsea na Benefica wamefikia makubaliano ya uuzwaji wa Enzo kwenda Chelsea kwa Euro mil 130, cheki mashabiki wa Arsenal na Man u wanavyoteseka

 
Sisi kiupande wetu nadhani dirisha tushafunga kikosi ndo hiki mpaka dirisha kubwa.

Maboss wamegoma kutoa hela kabisa wamesema hawawezi kutoa hela na timu wanaipiga bei kwaiyo tuvumilie tu hakuna kusajili.
 
Sisi kiupande wetu nadhani dirisha tushafunga kikosi ndo hiki mpaka dirisha kubwa.

Maboss wamegoma kutoa hela kabisa wamesema hawawezi kutoa hela na timu wanaipiga bei kwaiyo tuvumilie tu hakuna kusajili.
Kuna tofauti kati ya kugoma kutoa fedha na kutokua na fedha ya kutoa.

Maboss wamekaukiwa fedha ya kutoa na hata dirisha kubwa kuna hatari ya ufinyu wa bajeti.

Ni mwendo wa kuuza ndipo tununue.
 
Hali kama hii iliwai kuitokea timu yangu ya FC bandari ya tanga tukaanza kupoteza mechi mpaka tukashuka daraja kwa kweli nililia saana
 
Sisi kiupande wetu nadhani dirisha tushafunga kikosi ndo hiki mpaka dirisha kubwa.

Maboss wamegoma kutoa hela kabisa wamesema hawawezi kutoa hela na timu wanaipiga bei kwaiyo tuvumilie tu hakuna kusajili.
Hapa kikubwa cha kuomba ni kabla ya huu msimu kuisha Glazzer awauzie timu wale Waqatar.
 
Elanga to Barcelona, here we go! Deal agreed on £10m fee, Barcelona accept conditions and documents are being prepared [emoji599][emoji836]️[emoji837] #BFC

Personal terms agreed, contract until 2027 with option further for a year.

First contact revealed yesterday night — medical booked.

Ole, key factor.



Comment ziwe fupifupi sanaa fupi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…