Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Anthony remind me Nicolaus Pepe
Nyie hela ya pepe imewauma sana sisi kumwaga hela Kawaida tulimwaga kwa.

Lukaku
Pogba
Sancho
Di maria
Maguire

Kwaiyo sisi kumwaga hela ni kama utamaduni wetu sio kama huko kwenu mmetoa kapaundi 70 tu lakini mnalialia mpaka leo.

Kiufupi kimkwanja sisi sio level yenu timu ijawai kusajili mchezaji hata wa paundi 80 ni timu nayo iyo.
 
Pepe tulishamuondoa, tutavunja benk kwa mchezaji anayestahili , bila Chelsea kuingilia dili la MUDRKY ,tulikuwa tumlete kwa €95m

Nyie mnaongoza kupigwa ,hivi Sancho yupo wapi
 
Watu wanasajili nyie mnaleta Ghost kwa Mali Kauli
Mnaimba mnataka epl ,Hata Carabao hamna timu ya kumfunga Newcastle
Miaka 6 inaenda bila taji lolote
 
Hamuna timu ya kuifunga Newcastle mkienda fainali Hakuna kikombe mtachukua kwa kumtegemea makame na mchezaji wa yutube
 
ETH " still there's potential in this squad " wana man u kama una bando pitia YouTube muangalie AMAD DIALLO, dogo anajua na nadhan akikomaa atatusaidia sn.
 
Watu wanasajili nyie mnaleta Ghost kwa Mali Kauli
Mnaimba mnataka epl ,Hata Carabao hamna timu ya kumfunga Newcastle
Miaka 6 inaenda bila taji lolote
We mpuuzi, inaonekana una hasira sana na Man United, huu sio upinzani bali ni hasira iliyopitiliza.

Hata nje ya hapa inaonekana hauko vizuri kiakili.
 
Upo sawa kichwani kweli!? Soma nilichokuuliza na ujibu tena pointi sio pumba,,[emoji3166] Au wewe unaona umetoa booonge la jibu
 
Upo sawa kichwani kweli!? Soma nilichokuuliza na ujibu tena pointi sio pumba,,[emoji3166] Au wewe unaona umetoa booonge la jibu
Punguza ujuha na ushangingi si nimesema case closed mlikuwa na performance nzuri kama unavyotaka kujiaminisha au unataka nn[emoji23]?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…