Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
dah [emoji1787][emoji1787] man u hampendwi mnaongea SanaYani kuwa mshabiki wa Manchester ni kazi sana yani wewe fikiria tu hizi mechi zote kubwa kama.
Arsenal
Chelsea
Liverpool
Man city
Wote hao wapo ladhi wafungwe na timu nyingine ila sio united kiufupi united ndo timu tusiyopendwa na kila kigogo pale uingereza timu yoyote inaona ni bora ifungwe na timu yoyote pale uingereza ila sio united.
Hivi mkuu@Aaron Arsenal hivi timu kubwa za England tuliwakosea nini mbona hata hapa katika uzi wetu timu imefungwa wa united utakimbiza hatari?
Sasa kama mashabiki wengine wamechagua kuongea sana sisi kwanini tukae kimya raha ya mpira kupiga makelele bwana.dah [emoji1787][emoji1787] man u hampendwi mnaongea Sana
Unapoizungumzia utd na arsenal kimapato ni mbingu na ardhi, sihitaji kubishana wala kuweka data hapa !Manyua Haina pesa
Sababu kubwa ya chuki na wivu Ni Mafanikio ya mda mrefu nje na ndani ya uwanja, !Yani kuwa mshabiki wa Manchester ni kazi sana yani wewe fikiria tu hizi mechi zote kubwa kama.
Arsenal
Chelsea
Liverpool
Man city
Wote hao wapo ladhi wafungwe na timu nyingine ila sio united kiufupi united ndo timu tusiyopendwa na kila kigogo pale uingereza timu yoyote inaona ni bora ifungwe na timu yoyote pale uingereza ila sio united.
Hivi mkuu@Aaron Arsenal hivi timu kubwa za England tuliwakosea nini mbona hata hapa katika uzi wetu timu imefungwa wa united utakimbiza hatari?
Hapa allypipi ndio unawachanganya ndgu zetu, sema arsenal wazuri lkn ubingwa bdo unasafari ndefu mpira una maajabu snSasa kama mashabiki wengine wamechagua kuongea sana sisi kwanini tukae kimya raha ya mpira kupiga makelele bwana.
Kuna timu kama hazipo serious kabisa kweli uefa nayo ni kitu ya kukosa kweli.View attachment 2496330
Henry hajaongea haya maneno wamemlisha tuWazee tujadili potential zinazofaa kuja united, tuache kubishana na arsenal
TIERY HENRY "namuamini arteta, naipenda arsenal pia lkn tumeona project ya miaka mitatu ya arteta dhidi ya project yeny miezi sita ya ETH, pia man u kapumzika Siku 3 dhidi ya timu imepumzika wiki moja kabla ya game, kwahili namuunga mkono na kuwa shabiki wa ETH anafany maajabu na naamini ndani ya miaka miwili atakuwa na timu top hapa england na ulaya"
Henry hajaongea haya maneno wamemlisha tu
Bro aliongea fatilia skyHenry hajaongea haya maneno wamemlisha tu
Bro aliongea fatilia sky
Sio kweli hiyo habari Ni fabricated ,hakuna video Henry aliongea hayo maneno ,Haamini kama Legendary wake kaongea maneno ya ukweli, ujue nini wenzetu hawanaga unafiki kama sisi wabongo wanaongea ukweli hata kama wengine hawapendi kuusikia.
Nilishafatilia vzr hakuna Kitu Kama hicho Ni mashabiki wa man u ndio wanajifariji, hakuna video ,Kama ipo iweke hapa linkBro aliongea fatilia sky
[emoji1787][emoji1787] Nyie jamaa mna mdomo Sana, Sasa man u hii project mnayosema ina miezi 6 ,ndio hii ya kusubiria individual brilliance za Rashford ?Project ya miaka mitatu lakini kidogo isimamishwe na project ya miezi 6 na hapo hatukua na mkata umeme miro na still mnapata tabu subirini tufike miaka miwili mtaomba poo ni vipigo tu.
Project unajenga na wazee miaka 30 unasema miaka 2 tutaomba poo[emoji1787][emoji1787] tumieni akili Basi mtajikuta mnaanza kulia Tena hatuna mkabaji hatuna Beki hatuna CM hapo Casemiro varane Eriksen wanakimbizwa hoi ,tumeona Eriksen jumapili ulimi nje[emoji1787]Project ya miaka mitatu lakini kidogo isimamishwe na project ya miezi 6 na hapo hatukua na mkata umeme miro na still mnapata tabu subirini tufike miaka miwili mtaomba poo ni vipigo tu.
vip, kuna mwenye nalo,, this is our honour,, no one will get thisSasa kama mashabiki wengine wamechagua kuongea sana sisi kwanini tukae kimya raha ya mpira kupiga makelele bwana.
Kuna timu kama hazipo serious kabisa kweli uefa nayo ni kitu ya kukosa kweli.View attachment 2496330