Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Goalkeepers Alisson (1) and Ederson (1) have more league assists than Antony this season (0).

Should Man United be looking for more from their €100m man? [emoji102][emoji457]
 
Tunakiporo na Palace tukimfunga tubakiza point 6 alafu jumapili tunacheza na Arsenal ni kibonde wetu tunamfunga zinabaki 3 alafu mechi ijayo atapoteza na sisi tutashinda tunakua sawa alafu anacheza na City anafungwa na Sisi tunashinda tunakua juu [emoji28]

ABUNUASIIIII [emoji28][emoji28]
 
Asubuhi unaamkia nyumba ya jirani
 
😄😄😄 Boss Jackwillpower waache tu hawa. Mahesabu yao ni kama zile MLM schemes za GNLD na Forever Living Products 😄😄😄
 
Kwa hyo unataka hao rafiki zako wasipost kisa wewe hupost ukimfunga Nottingham?
 
Eti Sasa hivi Anthony inaonekana MMEPIGWA , tuliposema mechi ya Kwanza tu japo alifunga ,kuwa humu hakuna mchezaji ,tuliambiwa tuna chuki sababu kaifunga Arsenal
 
Eti Sasa hivi Anthony inaonekana MMEPIGWA , tuliposema mechi ya Kwanza tu japo alifunga ,kuwa humu hakuna mchezaji ,tuliambiwa tuna chuki sababu kaifunga Arsenal
Hii taarifa inaisaidiaje Arsenal kushinda mechi inayofuata?

Wewe hujui kitu kushinda EtH aliyemsajili. Antony bado hajafikia full potential, halafu United tunaunda kikosi (bora barani Ulaya) tunataka timu yetu iwe na qualities sawa kwa kikosi cha kwanza mpaka bench. Nyie endeleeni na wachezaji wenu wa mafungu.

Hata Arsenal kuna wachezaji last season walionekana wa kawaida sana ila msimu huu wanakiwasha. Kinachowasumbua ni value tu ya Antony ambayo haina uhusiano na uwezo wake. Ajax walitaka ile pesa kutokana na vitu vingi na sisi tukakubali, shida iko wapi tuki-spend €100m au kisa timu yenu haiwezi?
 
Unajielezea sana. Lazima mkubali pale mmepigwa!
 
Acha makasirikio ,tunaisubiri hiyo timu tishio [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…