Werghost angetoka then Garnacho aingie mapema..Eriksen pia alichoka vibaya mno,game kama ya jana sio mechi zake kabisa..Sijui ETH aliwaza nini mpaka akamtoa Anthony na kumuacha Werghost.
Ile sub yake jana ilinishangaza sana, ni anarudia makosa yaleyale yaliyofanyika tulipocheza na palace.
Ilitoa ahuweni kwa beki zetu, kuna muda zinchenko hakuwa huru kucheza, sababu ya Anthony, alipokuja mtoa, zinny akawa huru, akawa anasogea kwenye kiungo ndio ule msako ukafanyanyika.Sijui ETH aliwaza nini mpaka akamtoa Anthony na kumuacha Werghost.
Ile sub yake jana ilinishangaza sana, ni anarudia makosa yaleyale yaliyofanyika tulipocheza na palace.
Alihofia kijana atakula 2nd yellow.Ilitoa ahuweni kwa beki zetu, kuna muda zinchenko hakuwa huru kucheza, sababu ya Anthony, alipokuja mtoa, zinny akawa huru, akawa anasogea kwenye kiungo ndio ule msako ukafanyanyika.
Kiushabiki nyie ni watoto tu kwetu. Hata Ile game kwenu mlishinda kibahati tu mlitushtukiza.Mkuu naona akili zako umeamua kutozitumia unasema sisi mabwana wadogo kwenu kwani game ya kwanza ilitokaje.
Ushindi wa jana wa arsenal unajua umetokana na nyie kupoteza game ya kwanza dhidi yetu ilikuwa ni lazima mpambane tu ni mara chache timu kubwa zinapokutana mmoja aondoke na point zote 6.
Sisi tunachojua tuliwachapa kwetu mmetuchapa kwenu sioni cha ajabu hapo mna point zetu 3 tuna point zenu 3 mnajimwambafai hapa utadhani game zote mlitufunga.
Nimeangalia gemu ya jana hakika manchester united wana kocha wachezaji wanacheza kiume lisandro top top top
Casemiro hana mjadala kaacha pengo kubwa yote kwa yote mabadiliko ni makubwa sana ndani ya miezi 6 si jambo jepesi kocha mpya kutoboa ndani ya top 4 halafu ratiba yanyewe imemkalia vibaya wanapumzika siku 3 tu wanakutana na mech halafu wanatoa upinzani wa kutosha
Kwa upande wa liverpool na chelsea majeruhi wao wakipona ligi itakuwa nzito sana
Spurs conte alishasema wana project mpya ndio maana wamepooza ila sio wa mdebwedo.
Newcastle hawa wanatoa upinzani haswaa top 4 bado ngumu.
Tulijitahidi sana sema tuna makosa madogo madogo hasa tunapofanya sub.
Mosi viungo wetu tukianza na Eriksen umri umeanza kumkamata yupo slow sana na mara nyingi anapokonywa mipira kirahisi.
Game ya kwanza Arsenal walifunga goal likakataliwa,ni huyu huyu Eriksen alipokonywa mpira kijinga.
McTommy ana miaka 26 sasa,ni wakati mzuri wa kumuuza mapema fedha yake atafutwe kiungo mzuri.
Shaka alimpeleka sana Shaw,sijui kwanini Kocha akutafuta solution mapema !.
Bado nina imani na kocha katutoa mbali sana na tukitilia maanani ana muda mfupi sana EPL.Nina hakika kadri siku zinavyosonga kuna mambo mengi atayafanyia kazi ikiwemo mshumbuliaji wa kati na kuongeza viungo mahiri na vijana.
Wakati umefika wachezaji wafuatao waondoke mara moja.
1. Harry Maguire
2. Phil Jones
3. Anthony Martial
4. Anthony Elanga
5. Donny Van de Beek
Wee ni mtu wa mpira wa kibisa respect
Yale Yale ya Argentina kumtoa Dimaria sku ya final FIFA, washukru kulikuwa na sub ya dybala , somehow same to DimariaIlitoa ahuweni kwa beki zetu, kuna muda zinchenko hakuwa huru kucheza, sababu ya Anthony, alipokuja mtoa, zinny akawa huru, akawa anasogea kwenye kiungo ndio ule msako ukafanyanyika.
Sawa sisi watoto kwenu mkuu.K
Kiushabiki nyie ni watoto tu kwetu. Hata Ile game kwenu mlishinda kibahati tu mlitushtukiza.
Kiukweli mko vizuri tu hamna haja ya kupanic wala kujaa hofu.