D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Vicent kompany hawezi kumfundisha mchezaji aina ya scott.kuna mwamba aliuliza kwamba scott ana 26 yrs now anaelekea wap kisoka....
kuna professa akaja kusema anaelekea burnely semaa man u wanamchelewesha😂😂😂😂😆
Hii ndio karaha ya kufungwa na arsenal.[emoji2957][emoji2957]View attachment 2491895
Tatizo mkwanja brother.Sema United wanatakiwa watafute mbadala wa Eriksen ili Bruno arudi kwenye
Huwa wanaongea sana. Msimu huu ni kheri City achukue ndoo patulie. City hivi ina mashabiki watu wazima kweli hapa bongo (umri juu ya 18)?Hii ndio karaha ya kufungwa na arsenal.
Teh teh teh
wengi wao wanatembea kwenye miaka 7 hadi 25.Huwa wanaongea sana. Msimu huu ni kheri City achukue ndoo patulie. City hivi ina mashabiki watu wazima kweli hapa bongo (umri juu ya 18)?
Mimi ndo maana nimesema siwezi kumlaumu kocha wala mchezeajiJinsi tulivyoumia leo kwangu ni ishara Ten Hag anafanya kazi kubwa sana. Nikikumbuka miezi 6 tulipokuwa na hapa tulipo. Nani angeweza kufikiri hata tukifungwa mechi 3 mfululizo bado tupo top 4?
Binafsi I'm very grateful so far, Arsenal, City na L'pool hizi ni timu ambazo benchi la ufundi lipo kwa zaidi ya misimu mitatu. Hatuwezi kujilinganisha nao kwa sasa, benchi letu la ufundi ndio kwanza wana miezi 6 tu.
Naona mwanga ndani ya msimu ujao. Msimu huu top 4 na kikombe kimoja yatakuwa mafaniko makubwa sana na mahala tulipotoka msimu mmoja nyuma. Japokuwa nilianza kujipa moyo wa kufanya kitu ila Arsenal wapo serious msimu huu.
Sure Jombaa. Wengi wameanza kushabikia City kocha akiwa Roberto Mancini.wengi wao wanatembea kwenye miaka 7 hadi 25.
Hata elano hawamkumbuki
Haaland hali cake ana kisukari. 😂Arsenal ni kama cake ya birthday, kila mtu atapata
COYG🔥🔥🔥🔥
Mashabiki wa city wengi ni mashabiki wapya 😄Sure Jombaa. Wengi wameanza kushabikia City kocha akiwa Roberto Mancini.