Waingereza wameanza kumuingilia EtH kimtindo na wachezaji wao wa mchongo.
Ilitakiwa wamuache mwalimu achague mshambuliaji mwenye umri mdogo ili awe sehemu ya mpango wa muda mrefu sio kibabu Kane kisa mtoto wa malkia.
Pale United inatakiwa tusafishe waingereza akiwemo Rashford mchezaji mwenye kiwango kisichotabirika.