Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,643
Du!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Arsenal wakishinda keshokutwa najipiga burn jamii forum hadi msimu mpya wa ligi utakapoanza ndio naingia humu tena.
Waingereza wameanza kumuingilia EtH kimtindo na wachezaji wao wa mchongo.Erik ten Hag is keen to bring Harry Kane to Manchester United in the summer. [Daily Mail]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |
Points nzuri sana.Waingereza wameanza kumuingilia EtH kimtindo na wachezaji wao wa mchongo.
Ilitakiwa wamuache mwalimu achague mshambuliaji mwenye umri mdogo ili awe sehemu ya mpango wa muda mrefu sio kibabu Kane kisa mtoto wa malkia.
Pale United inatakiwa tusafishe waingereza akiwemo Rashford mchezaji mwenye kiwango kisichotabirika.
City pia walikuwa na records za kipuuzi kama hizi. Waulizeni kilichowakuta. Huoni hata aibu kwa opponents mliokutana nao?Karibuni Emirates😁View attachment 2489458
Tumetoa bikra kumbeCity pia walikuwa na records za kipuuzi kama hizi. Waulizeni kilichowakuta. Huoni hata aibu kwa opponents mliokutana nao?
View attachment 2489633
Nina uhakika 100% unaipenda Man U sema ni vile tu ulichagua kuwa Arsenal.Man u ana odd 4
Haya zifateni kama mnaiamini timu yenu
Hapa Hata ukiwa arsenal fan unampa Man UTD. Ukishinda poa sana. Ukifungwa umekula Hela.Man u ana odd 4
Haya zifateni kama mnaiamini timu yenu
Waingereza wameanza kumuingilia EtH kimtindo na wachezaji wao wa mchongo.
Ilitakiwa wamuache mwalimu achague mshambuliaji mwenye umri mdogo ili awe sehemu ya mpango wa muda mrefu sio kibabu Kane kisa mtoto wa malkia.
Pale United inatakiwa tusafishe waingereza akiwemo Rashford mchezaji mwenye kiwango kisichotabirika.
Pogba alisema atatuonyesha ni kiasi gani tulikosea kutokumuongeza mkataba mpya.Gundu la PogbaView attachment 2489613
Football should be an ArtNina uhakika 100% unaipenda Man U sema ni vile tu ulichagua kuwa Arsenal.
Prove me wrong