Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongera Sana mkuu kwa uchambuzi wako mzuri, to be honest Manchester kupata alama pale Emirates Ni mtihani mgumu Sana ambayo mafans wa Man Utd wamekataa kukubaliana nao
 
Mpira ni mbinu,possession pekee sio mbinu.suala la possession ndio utamaduni wa Asernal siku zote.Ninyi mnasifika kwa jitihada sisi tunasifika kwa matokeo huo ndo utofauti wenu na sisi.
 
Mechi ya jana tulicheza ovyo sana...
Utadhani ni genge la wahuni la mitaa ya JANG'OMBE.

Tukienda uwanjani na mentality ile ya jana tutakula goli 3 kavu kavu bila ya ndomu siku ya jumapili
 
nipeni maujanja ya kuhifadhi comment za wabwatukaji....

"nileteeni wan bissaka dhidi ya Arsenal nipate kushuhudia ubabe wa huyo martinelli"
kwa sauti ya Magufuli.
Sisi winga zetu, zina tabia moja zinatanua uwanja , hivo wana bisaka akienda ,hiyo space anayoacha ndio tunaitaka , hatuna shida na tackling zake ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…