Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kosi la ushindi liko wapi ndugu zangu wa title contenders?

Yani mnaiwazia sana gemu ya j'pili kuliko hii ya leo
 
Arsenal wanaongea kama vile akiwepo Partey mpinzani hapati shot on target hata moja. Kwa kweli ile game yao na spurs,ni bahati haikuwa upande wa spurs tu ila walitengeneza nafasi nyingi nzuri sana ila Ramsdale alifanya kazi yake vizuri sana.
 
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]

Prediction

Crystal palace 0 vs Manchester united 1

Time

5.00 usiku

GGMU[emoji83][emoji83]View attachment 2486402
😀nimekuja nisome hii comment kwanza kabla ya kwenda kibanda umiza....

kikosi cha leo kipo vizuri... naamini Ushindi lazima


#GGMU
 
Kipindi cha kwanza Team imecheza vizuri, wapo speed (isipokuwa Rashford) nafikiri amebadilishiwa majukumu.
 
DStv ikinyesha mvua kidogo tu "NO SIGNAL" nashindwa kuona soka la vijana wa EtH ipasavyo.

#GGMU
Mkuu dish lako halijasetiwa vzr mm kwangu wingu likiwa jeusi ndio haionesh lakin kam kuna mvua na wingu la kawaida inaonesha bila kugandaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…