Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haalland ni Kibu Denis aliyechangamka isipokuwa tu mfumo wa Mwa-City unambeba.

Kuna Kenge wanamlinganisha Haalland na King Mbappe kiubora katika kufunga magoli, hakika Wajinga hawawezi kuisha duniani [emoji1787]
Huyo Halaand usimdharau, vijana walikaa nae vizuri, bila hivyo ni hatari mno. Hata huyo Mbappe kuna siku kwenye club bingwa Ulaya, vijana wa Old Traford walikaa nae vizuri, hakufanya kitu, Rashford akawaua vizuri tena kwao.
 
Tutawachapa tena, nyie tutawaachia mmliki mpira kama falsafa yenu ila kipigo lazima kiwe upande wenu
Mchezaji anayeshangilia tu Ball Possession ni wa kumuonea huruma sana.

Hawajifunzi tu kwenye ile fainali ya kombe la dunia 2022 iliyoisha Argentina 3 - 3 France ilihali Argentina alimiliki mpira sana [emoji848][emoji1]
 
Baada ya matokeo ya kesho dhidi ya spurs,ndipo arsenal wataona walifanya ujinga kumshabikia man utd walau kwa dakika 90 tu. Gap ya 6 pointS halafu tunakutana nao game inayofuata.

Wataanza kujua kuwa mshindani wao halisi ni UNITED na sio CITY kama walivyodhani awali.
 
Kwan Man U hii waleteni hao arsenyeto hata kesho
Man u ilifaa kushiriki uefa kuliko Cheltako mpira haupo fair
GGMU[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Chelsea tuacheni tupumzike kwanza Wakuu, kwanini mnataka kila mwaka Chelsea wawe on fire [emoji91], inamaana mnatuonea wivu na sisi tunavyo-trust process ya kujenga timu kwa miaka mitatu/minne ili baadaye tuwe tishio Ulaya kama ninyi Man Utd [emoji848][emoji16]
 
Kama kuna mshabiki wa Arsenal kachukia ushindi wa Man Utd leo hii basi atakuwa ametoroka Mirembe...[emoji124]

Mwa-City si wazuri sana ukiwazidi point 5/6 tu wanaweza kukaza hata mechi 9 mfululizo wakiwa wanashinda tu.
 
Huyo Halaand usimdharau, vijana walikaa nae vizuri, bila hivyo ni hatari mno. Hata huyo Mbappe kuna siku kwenye club bingwa Ulaya, vijana wa Old Traford walikaa nae vizuri, hakufanya kitu, Rashford akawaua vizuri tena kwao.
Haalland ni mchezaji wa kawaida sana asipopenyezewa mipira, Mbappe anakaba, anakokota mpira, anatoa pass assistance na anakufunga popote iwe karibu, mbali, kulia kushoto, kwa kichwa hata kwa kisigino.

Narudia tena, Haalland ni Kibu Denis aliyechangamka hasa wawezeshaji wake wakizuiwa kama leo KDB alivyofichwa na akina Mahrez.
 
Bissaka shida yake ni kwenye kuanzisha mashambulizi, mengine yote yupo vizuri.
 
Sema Spurs kama matahira vile..usishangae akapigwa kama bwege
 
Mbappe mwambaa sanaa aiseee... Kijanaa ana balaa yuleee halland kama sallah tu[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…