Tutawachapa tena, nyie tutawaachia mmliki mpira kama falsafa yenu ila kipigo lazima kiwe upande wenuTunawangojea emirates stadium, leo man u mmefanya la maana sana kumfunga city
Najua mashabiki wengi wanaona mbio za UBINGWA zipo Kati ya timu MBILI ARSENAL na MAN City hata baadhi ya mashabiki wenzetu humu wanafikiria hvyo,
Ila kwa upande wangu naona hata sisi TUNA NAFASI YA KUCHUKUA UBINGWA MSIMU HUU....
Na mwanga utaanza kuonekana juma linaloanza ambapo tutacheza na MAN City pamoja na PALACE hapo j5...
Endapo tutashinda hzo mechi mbili tutakuwa tunamkaribia kwa ukaribu zaidi na anaeongoza ligi ambaye ni ARSENAL ambaye nae anakibarua kigumu dhidi ya mpinzani wake TOTTENHAM,
Na akitoka na Tottenham anakutana na sisi...
Patamu hapo!!!
#GGMU
Trust in process
Hifadhi maneno yako mkuu, ile gemu ya kwanza ni bahati tu.Tutawachapa tena, nyie tutawaachia mmliki mpira kama falsafa yenu ila kipigo lazima kiwe upande wenu
Na hapa ndipo tunapojifunza kituHata Arsenal tulimchapa hivi hivi
Goli 3 unaita bahati?Hifadhi maneno yako mkuu, ile gemu ya kwanza ni bahati tu.
Sure?Arsenal atanipa pointi 6 msimu huu
Bas tungoje next matchGoli 3 unaita bahati?
Haya kakojoe ulaleTusameheane jamani nyie bado ni ndugu zetu tu, ila 3 points ni mhimu zaidi kwetu
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Msimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
Wapendwa mashabiki wa chama kubwa manchester united, huo👆 ndio msimamo wa ligi msimu huu, napia si hivyo tu Hadi carabao,FA na Europe huyo mwamba hapo juu namba 1 bado anashiriki, na msimu huu mechi 8 mfululizo unbeaten and still more suplise to come for the red devil's👍
First goal ni offside clear marefa wa EPL ni tatizo kubwa