Na uzuri wewe mwenyewe unajua kabisa kuwa tulipiga round ya kwanza, sasa sijui hup mpira wetu una ubaya gani.Uzuri nyie wenyewe mnakiri huu mpira wenu arsenal atawaua nyingi
Nomaw..😂😍😍💯💯💯🔥🔥Hahahahaaaa lapili aiseee
Kwakweli mm mwenyewe shabiki la Liverpool naomba Arsenal mbebe hili kombeMkuu Sema mabingwa arsenal tu, mbona simple tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Nauza sumu za PANYA, unataka??Ndugu zangu nasikitika kuwambia kuwa ugonjwa mlonao siwakupona 2nd half habari yenu inaisha.
Mkuu najua leo washika mtutu mlikuwa upande wetu[emoji847]Mkitumwa mnafanya kazi nzuri, good job.[emoji1787]
Naombeni pongezi zangu kwa kuwatakia ushindi na mmenitendea haki.Man Utd msiniangushe leo nawatakia kisasi cha maana dhidi ya Man City hata 1 - 0 tu, kila la heri Wakulungwa [emoji119]
Trust in processHuyu Makame mbona haileweki huyu, mara ya pili hii anakosa goli