Huyu leo anawakanda cityMan United confirm deal for Wout Weghorst.
Loan from Burnley until the end of the season.
No option or obligation to buy. United paying £2.6m loan fee to Burnley.
Burnley paying €2.825m (£2.5m) to Besiktas. United paying full wages.
Man City tops the list wakifuatiwa na Napoli.Napoli ndo timu inayacheza soka safi zaidi ulaya kwa sasa kwa maoni yangu
Hapa sijaelewa Shaw CB tena auMartial + Shaw wameanza kwenye kikosi cha kwanza
Ikiwa hivyo, kesho itakua Totte 2 Aseno 1sare ya bila kufungana inatosha kabisa
Kama akimuanzisha tena na leo Martial na wale watoto machachari akiwaacha benchi itabidi niangalie hii mechi nikiwa nimelewa.[emoji599] BREAKING!
#MUFC XI to face City: De Gea, Wan-Bissaka, Varane, Shaw, Malacia, Casemiro, Fred, Eriksen, Bruno, Rashford, Martial. [emoji837][emoji736]
Kwahiyo Martinez anaanzia sub[emoji599] BREAKING!
#MUFC XI to face City: De Gea, Wan-Bissaka, Varane, Shaw, Malacia, Casemiro, Fred, Eriksen, Bruno, Rashford, Martial. [emoji837][emoji736]
Woryout brother hii game tunashinda.I'm nervous..
Daah..jasho linanitoka