Nilimaanisha timu zisizokuwa na big sugar daddies kama Citeh, Chelsea.. Anyway, I don't see spending spree at UTD broh. It's true they need to spend to stay afloat but spending ridiculously as Chelsea, PSG, Citeh, Monacco I'm sure not going to happen. Most pundits are calling for the overhaul at UTD which means the Glazers will have to go gun blazzing in the summer transfer market. If Man UTD go for the overhauls it means they will really fall back and it will take two or three seasons from challenging for top trophies.
Nasubiri kusikia mpenzi wa Man UTD wa Kikenya au Kiganda amejinyonga baada ya kipigo hiki.
Washabiki wanaojinyonga wanajulikana ni wa Arsenal
Naona mkuu umesha recover from maumivu ya hii timu yenu. Ulitumia vikombe vingapi toka kwa Babu? soma hii
Report in Kenya: Manchester United Fan Killed Himself After Newcastle Loss | Bleacher Report
more reliable source habari hiyo hiyo BBC Sport - Fan kills himself over United loss
Hivi nina swali kwa nyie Fans wa MANURE...hivi ni kweli MOYES ataweza kuibadili team yenu at the time atakavyo re-built up the whole team? Napata mashaka kwakuwa amekuwa miaka mingi pale Everton na usajili wake wote hajawahi kuipa toffees anything..hii akili nyie mmeipata wapi?Ndo maana katika posts nyingine nilisema Moyes apewe miaka 2 au 3. Maana kuna Weakest links kibao katika hii timu yenu. Akishamaliza sort that out itamchukuwa mwaka au miwili kuanza kuona matunda ya timu yake(Rebuilding). Juu ya kina Glazers kumwaga pesa ni very debatable. Timu yenu inapoteza pesa ktk Stock Exchange ukijumlisha mkikosa CL hali itazidi kuwa mbaya zaidi. Then usisahau mikopo hao kina Glazers waliyochukuwa kuinunua timu plus mikopo mingine baada ya kuinunua timu. Usisahau jinsi gani Manchester united supporter Trust members wanavyolalamikaga juu ya hao kina Glazers wanavyoiendesha timu kimikopo. Kazi ya Transition kama mnavyoidai itakuwa ngumu... . Baada ya nyinyi watafuata kina Chelsea na Citeh.Anyway, ni muda wa timu zinazoendeshwa vizuri kiuchumi kama Arsenal, Liverpool, Spurs kupumua
Hivi nina swali kwa nyie Fans wa MANURE...hivi ni kweli MOYES ataweza kuibadili team yenu at the time atakavyo re-built up the whole team? Napata mashaka kwakuwa amekuwa miaka mingi pale Everton na usajili wake wote hajawahi kuipa toffees anything..hii akili nyie mmeipata wapi?
Bull..shi.t LoSeR always LOSER...Hawana mipango endelevu.Akili yao kama wale wadudu weupe wanaokaaga kwenye mbolea...contains nothing that s.h.it. inside...MANURE
Hivi nina swali kwa nyie Fans wa MANURE...hivi ni kweli MOYES ataweza kuibadili team yenu at the time atakavyo re-built up the whole team? Napata mashaka kwakuwa amekuwa miaka mingi pale Everton na usajili wake wote hajawahi kuipa toffees anything..hii akili nyie mmeipata wapi?
Sasa unaleta utani, uchumi upi unaongelea? Si hizo timu zingekuwa tajiri zaidi ya United? Come on Liverpool, Arsenal and Spurs?!? They aren't even selling shirts more than United? I can't even talk about the global fan base!
OTH, I told you, by just using common sense, Glazers will be forced to spend hard, otherwise, their business is ruined. As businessmen, they know that. It is a different era, under SAF, United had the power to win titles even with average squad. DM aint SAF, so, Glazers will spend money to stay atop and avoid ruining their business. This is what will happen and not otherwise, I know you won't like it, but take it or leave it....
We will be back (in Arnold's voice).
Soma hiyo post yangu vizuri uielewe. Sishabikii Manchester sio United au City. Nachowahimiza hawa Gloryhunter ni kumkubali kocha wao sababu aliajiliwa kwa long term vision sio kuja kubeba kombe. Inaelekea wewe ndo kama wale mashabiki wa Arsenal (in case ni Arsenal fan) mliokuwa mnapiga kelele Wenger afukuzwe kazi apewe sijui Laudrup baada ya kubeba League Cup. Anyway, ngoja nikusaidie kutafuna ili umeze ni fan wa ARSENAL miaka nenda mika rudi hadi kufa. Wapenzi wengi (kama hao wanaolialia Moyes afukuzwe) wanajali timu ishinde kwa gharama yoyote wanasahau kocha yoyote atakayekuja ataanza upya, itakuwa kama kujenga ukute afu ukifika sehemu fulani unabomoa na kuanza upya. No stability. Itakuwa kama unavyoona Chelsea, tangu 2004 makocha wameingia na kutoka na kuingia na kutoka kama Dala dala hawana stability.