Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa Sunderland wanajifanya kubana....dk ya 35 hapa..

Dah mambo yanagonga mwamba hapa, lah!
 
eheeee eheeeeeeeeee!wakati naelezea jinsi tulivyokosa goli evans katupia goli la kichwa baada ya kona akiunganisha mpira uliopigwa na welbeck
 
man utd 1-0 sunderland!half time,kama matokeo yakibaki hivi zitaongezwa dk 30,na baada ya extra time kama matokeo yakibaki hivyohivyo hakutakuwa na penalt na man utd itaenda ktk final wembley
 
adnan januzaj anaanza kwa hakika kuibeba timu katika mabega yote!most of man utd goals anakuwa involved
 
Back
Top Bottom