Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vdb out for the rest of the season,,,, I feel sorry for the lad !!!!

OT hapajamfaa, nadhan atafute mid table team Tena nje ya EPL, hata pale Everton hakufanya jambo la maana,!
Injury zinapoteza sana wachezaji. Msimu ambao ndiyo kaanza kuonyesha uwezo wake kapata injury tena.

Akirudi msimu ujao kupata namba itakuwa ishu sana, dirisha kubwa wakala wake afanye mpango arudi Netherlands tu kwa mkopo kupata regular football, pia kuwa mazingira ya nyumbani itamsaidia mentally.
 
Kabisa mkuu,,,, EPL pamemshinda! Very loyal guy sema ndo hivyo Tena !
 
Mbona huyo Partey mnayemuongelea hajafika hata Level za Declan Rice, au unazungumzia mpira gan?
 
Kosa la kwanza EtH atakalolifanya kesho ni kuanza na kiungo cha Casemiro,Fernendes na Eriksen.

Tunahitaji mkimbiaji hapo katikati..ile game ya sita goli la kwanza lilianzia pale Eriksen alipoacha kucheza tactical foul..Fred atatusaidia kwa kazi hii.
Upo sahihi, lakini tumpe nafasi ETH afanye kazi yake aliyoaminiwa anaiweza maana pia yeye anawafahamu wachezaji wake vizuri kuliko sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…