D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Huyu na Pellistri au hawajamuimpress kocha badoZidane Iqbal amemkosea nini erik ten hag?
Inawezekana, lakini mechi nyingi sana nashuhudia iqbal akiwa mchezaji wa hakiba.Huyu na Pellistri au hawajamuimpress kocha bado
EtH ananikera sana kwa kweli kuhusu huyu dogo..why hampi dakika?..Zidane Iqbal amemkosea nini erik ten hag?
"Confirmed MUFC squad members"Tunacheza tisa uwanjani?
Huyu Mainoo ndio Nani?
Ni kiungo yupo academy U-18. Alishacheza mechi ya kirafiki kipindi cha WC22 dhidi ya Cadiz akafunga.Huyu Mainoo ndio Nani?
Ila dogo anazingua sn,kwanini hagawi pasi za V pale akifika? Yeye anataka funga mwenyewe hovyo kabisaGarnacho anawachukua balaa..
Kama aliyowapiga city nadhani jumamosi ataipiga tena hii city wajiandaeCurve moja ya hatari..
Asante Anthony..
Kachoyo kinomaIla dogo anazingua sn,kwanini hagawi pasi za V pale akifika? Yeye anataka funga mwenyewe hovyo kabisa
Kingine dogo Hana ball possession nzuri.Ila dogo anazingua sn,kwanini hagawi pasi za V pale akifika? Yeye anataka funga mwenyewe hovyo kabisa