Arsenal ana uhakika wa top 4 sio ubingwa.Arsenal wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa hata kimahesabu.
Ili waukose ubingwa wanahitaji kupoteza angalau mechi tano au Sare zisizopungua saba halafu timu inayowafuatia asipoteze zaidi ya mechi tatu.
Kimahesabu Arsenal wameukaribia sana ubingwa imagine katika mzunguko huu wamepoteza mechi moja tu.
Mbona mapema sana [emoji23][emoji23][emoji23]EPL NEXT 5 FIXTURES
Arsenal fixtures:
Totenham vs Arsenal
Arsenal vs Man United
Everton vs Arsenal
Arsenal vs Brentford
Arsenal vs Man City
Akiendelea kuwa kileleni nipigwe ban ya maisha.
Huu utakuwa usajili mzuri haijalishi namba zake zitakuwaje mwisho wa msimu.Mchana nyavu au Ighalo part 2?View attachment 2472937
Utamsajili striker gani sasa? Huyo jamaa analijua goli. Sehemu pekee alipofeli ni Burnley.Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii timu bwana yale yale ya ighalo mnataka benzema wanawapa ighalo kweli matajiri wamegoma kumwaga hela.View attachment 2472409
Sad[emoji22]A medical expert has claimed Donny van de Beek could be out with injury for a full year. [emoji174]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2475143
Chelsea on panic mode. Hiyo fee ni kubwa sana plus £280k /week.Joao Felix to chelsea loan fee €11M