Fernandes amekosa sana utulivu nowdays..sikubahatika kuangalia mechi ya jana ila ukiniuliza ni wachezaji gani pale manchester united hupendelea zaidi kucheza mpira wa tennis kama alivyosikika erik ten hag akibwatuka basi ni hawa wafuatao.
- david de gea
- scott mctominay
- anthony elanga
- bruno fernandez = HUYU NDIYE MASTER
- wan bissaka
- harry maguire
- fred
Bado hatujajua, ila kuna possibility ni ACL injury, mpaka umepinda hivyo goti sio zima.aiseeeeehhh alivunjika????dah ana mkosi sana jamaa
Kivp? Huwa unaangalia mpira au unafuatilia mpira?Fernandes amekosa sana utulivu nowdays..
Sijui tatizo nini aiseeFernandes amekosa sana utulivu nowdays..
Mpaka sasa upande wa kushoto umetimia kwa 100%. Beki - Shaw/Malacia, winga - Rashford/Garnacho. Tumalizane nao tu mikataba ya muda mrefu.Ila wakuu Shaw pia mkali..
Ana pasi zake ndefu zilizoenda shule kinoma..mfano ni lile goli ya tatu jana.
Kama mpaka June mnunuzi mpya hajaeleweka, tunaweza ingia sokoni na mapato ya club. Hela za mwekezaji mpya zikachelewa kuja.Bodi waache ujinga huyu mshua apewe mshambuliaji. Kumtegemea Anthony Martial tutafanya kosa la kiufundi.
Yale mahesabu ya Chief Mkwawa naanza kuyaelewa.Msimu uliopita tulimaliza na clean sheets 8 ktk mechi 38 mpaka sasa ndani ya michezo 17 tumezipata 8. Tumezidiwa na Newcastle pekee mwenye clean sheets 10 ndani ya michezo 18.
Tumeshinda mechi 11 kati ya 17 tumezidiwa na Arsenal pekee aliyeshinda michezo 14 ktk mechi 17 pia. Bodi wasifanye masikhara kama wanaweza hata wakope ila mshua apewe mshambuliaji mmoja. Tuna nafasi ya kufanya jambo msimu huu.
Acha kuniuliza maswali ya kitoto.Kivp? Huwa unaangalia mpira au unafuatilia mpira?
Naunga mkono hpjaNdo maana nasema ni bora tubaki na hao kina Martial.
Kuliko kununua striker bora striker.
Yale mahesabu ya Chief Mkwawa naanza kuyaelewa.
Na bado mechi 21.
Arsenal hawajawahi kuwa serious.View attachment 2469206
Hapo ni Casemiro + FDJ, Mbele yao anacheza Bruno.Bado kumekuwa na tetesi za ujio wa FdJ majira ya joto yajayo pale United. Na ni matumaini yangu hii nafasi ikitokea basi EtH hawezi kuiacha impite kwa jinsi alivyo na mahaba na huyu kijana.
Shughuli ya Casemiro haina mjadala hapa,Bruno (mzee wa tennis kwa mujibu wa I AM SALIM ) ingawa tunamponda sana siku hizi (kasoro Chief-Mkwawa ) ubora wake huwa unaonwa na walimu wake tangu enzi za Ole,EtH na hata kocha wa timu ya taifa ya ureno.
Eriksen pamoja na uzee wake yule mtu ana brain ya mpira
Swali langu ni namna gani atakipanga kiungo chake wakati FdJ akicheza kama Deep Laying Playmaker pamoja na uwepo wa Case,Bruno na Eriksen kwenye eneo la kati?
Ambao wanalipa viingilio kwenda uwanjani wanamkubali... Halafu mechi hyo hyo ambayo mashabiki wamemkubali wewe uliopo kwenye kibanda umiza AGAFILO una diss....Acha kuniuliza maswali ya kitoto.
Unadhani ningeweza tu from nowhere kutoa comment hiyo kama siangalii mpira kwa details??
Watu wanamuangalia Bruno kama mtoa pasi za Mwisho tu ila jamaa ni Fighter sana, hata kama hachezi vizuri ila yupo maeneo yote anakaba, mara nyingi asipokuepo Eriksen anakuwa exposed.Bado kumekuwa na tetesi za ujio wa FdJ majira ya joto yajayo pale United. Na ni matumaini yangu hii nafasi ikitokea basi EtH hawezi kuiacha impite kwa jinsi alivyo na mahaba na huyu kijana.
Shughuli ya Casemiro haina mjadala hapa,Bruno (mzee wa tennis kwa mujibu wa I AM SALIM ) ingawa tunamponda sana siku hizi (kasoro Chief-Mkwawa ) ubora wake huwa unaonwa na walimu wake tangu enzi za Ole,EtH na hata kocha wa timu ya taifa ya ureno.
Eriksen pamoja na uzee wake yule mtu ana brain ya mpira
Swali langu ni namna gani atakipanga kiungo chake wakati FdJ akicheza kama Deep Laying Playmaker pamoja na uwepo wa Case,Bruno na Eriksen kwenye eneo la kati?