Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Casemiro is the greatest thing since sliced bread.

Hata ile game ya City tusingepigwa vile zile 6 kama angeanza naamini.

Clean sheet zinaendelea tu kumiminika..huku pia mchango wake mbele kule pia ukiwa mkubwa.
Sure mi napenda sana anavyohamisha uwanja ana akili ya haraka sana tominey anatakiwa akaze msuli haswaa bila hivyo atacheza karabao tu.
 
sikubahatika kuangalia mechi ya jana ila ukiniuliza ni wachezaji gani pale manchester united hupendelea zaidi kucheza mpira wa tennis kama alivyosikika erik ten hag akibwatuka basi ni hawa wafuatao.
  1. david de gea
  2. scott mctominay
  3. anthony elanga
  4. bruno fernandez = HUYU NDIYE MASTER
  5. wan bissaka
  6. harry maguire
  7. fred
 
Fernandes amekosa sana utulivu nowdays..
 
Msimu uliopita tulimaliza na clean sheets 8 ktk mechi 38 mpaka sasa ndani ya michezo 17 tumezipata 8. Tumezidiwa na Newcastle pekee mwenye clean sheets 10 ndani ya michezo 18.

Tumeshinda mechi 11 kati ya 17 tumezidiwa na Arsenal pekee aliyeshinda michezo 14 ktk mechi 17 pia. Bodi wasifanye masikhara kama wanaweza hata wakope ila mshua apewe mshambuliaji mmoja. Tuna nafasi ya kufanya jambo msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…