Cha kufurahisha ni kuwa Moyes kalinda heshima ya kutofungwa na Arsenal na game ya pili lazima tuwalambe vizuri tu maana Rooney and Van Magoli watakua fit

Oooh! Mechi za nyumbani Tunafungwa tunataka mechi za ugenin ndio tunashinda! haya sasa mechi ya ugenini hiyo hapo mmepewa so hongereni kwa kuchukua point 3.