Siku ya furaha imefika siku ya pira safi na la kuvutia imefika ni siku ambayo hata fans wa arsenal lia lia
Aaron Arsenal alikuwa anaingoja kwa shauku kubwa kweli kweli.
Ni siku ambayo dunia nzima inatulia kazi zinasimama ndo ni leo iyo unajua kwanini?
sababu ni moja tu.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Wolverhampton 1 vs Manchester united 2
Time
9.30 mchana
Na nyote mna karibishwa.
View attachment 2464298