Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mpira wa ulaya asilimia kubwa umebadilika tofauti na zamaniWale waliokuwa wanadhani kuna Top club ya Ulaya watachukua tatizo hili waje waone.
Nilisema huyu kilichobaki ni kukimbilia Sporting,Uarabuni au Marekani.
A moment of silence plzView attachment 2463870
Ntioo ntioooKwa miezi 30 aliyo saini mpaka anamaliza mkataba wake atakuwa amevuna Tsh. Trilioni 1 na billion 230.
Kabisa aiseeGame ya leo ipo tricky ili tupate matokeo chanya wachezaji wapambane haswa
Game iwe TRICK isiwe TRICK wachezaji lazima wapambane tu,tupo behind uwezo wa miaka ileGame ya leo ipo tricky ili tupate matokeo chanya wachezaji wapambane haswa
Mkuu itakua mda gany kwa masaa ya huku[emoji471] #PL - Game Week 18
[emoji739] Wolverhampton
[emoji413] Sat, Dec 31, 15:30
[emoji909] Molineux St.
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2464280
Mkuu allypip katika ubora wako,kweli dunia nzima ina furaha.Siku ya furaha imefika siku ya pira safi na la kuvutia imefika ni siku ambayo hata fans wa arsenal lia lia Aaron Arsenal alikuwa anaingoja kwa shauku kubwa kweli kweli.
Ni siku ambayo dunia nzima inatulia kazi zinasimama ndo ni leo iyo unajua kwanini?
sababu ni moja tu.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Wolverhampton 1 vs Manchester united 2
Time
9.30 mchana
Na nyote mna karibishwa.View attachment 2464298