Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sio Kwamba Liverpool wamewapiga ?mbona kawaidaCody kama tungemtaka tungempata..it seems hakuwa tunachokihitaji.
Wote Felix na Gakpo sio Natural ST so ina make sense Gakpo sababu ya Bei. Unless Felix anakuja kwa mkopo mpaka dirisha la usajili tutafute ST wa maana.Labda mmehamishia nguvu kwa Jaoa Felix
Hizi propaganda tu Mkuu, Board ya Man U ni Avram Glazzer, Joel Glazzer, Kevin Glazzer, Bryan Glazzer, Gracie Glazzer, Edward GlazzerSio Kwamba Liverpool wamewapiga ?mbona kawaida
Kuna tetesi niliziona Grazzer family walizuiwa kuchukua dividend awamu hii na Bodi ya man u , pia kutokana na summer man u kutumia pesa nyingi, huenda January hii mkafanya loan deals zaidi , pia Kocha wenu kaahidiwa big investment summer atakapokuja mmiliki mpya .
CHIEF MKWAWA njoo toa details zaidi
Kumbe hawajazuiwa ,ila wao ndio wamejizuiaHizi propaganda tu Mkuu, Board ya Man U ni Avram Glazzer, Joel Glazzer, Kevin Glazzer, Bryan Glazzer, Gracie Glazzer, Edward Glazzer
Jumla kuna Member 11 na 6 kati yao ni Glazzer, chochote wanachotaka wanapitisha hakuna wa kuwazuia.
Na hao wa tano waliobakia Arnold ni mmoja wao (wamwemuajiri wao).
So lugha nzuri Glazzer wameamua wasichukue Dividend.
Daaahhh hilo swali lako uliliuliza kule kwenye jukwaa la Liverpussy MosDef akakufahamisha tena kitaaluma zaidi kuhusu mambo ya fedhwa, akakupa mpaka vivid example ila umeamua kujizima data na kuja huku kuuliza tena swali lilelile.Kumbe hawajazuiwa ,ila wao ndio wamejizuia
Hapana Lina utofauti kidogo, nilitaka nisikie mwandamizi CHIEF MKWAWA ana maoni gani ,Daaahhh hilo swali lako uliliuliza kule kwenye jukwaa la Liverpussy MosDef akakufahamisha tena kiutaaluma zaidi kuhusu mambo ya fedhwa, akakupa mpaka vivid example ila umeamua kujizima data na kuja huku kuuliza tena swali lilelile.
Ila kwa ule mpira mlioupiga jana dhidi Westham mpaka naona aibu kuja kuwafanyia fujo kwenye jukwaa lenu.
Labda kama board ina plan B ila huu ndio umekuwa utaratibu wetu kwenye soko la usajili.I like how Liverpool wanavyo-act faster kwenye usajili,
Hapana sisi tunamgombania mkeo.kwaiyo na nyie mnagombania top 4!!...
Ukosefu wa ajira na stress za maisha ndio hizi sasaHapana sisi tunamgombania mkeo.
Sasa wewe Fulana, Kisa mmekikosa kile ki gakpo ndio uwe na stress ivyo? hehehe na ngoja leo mkandwe kiutamuutamu matakataka nyie.Hapana sisi tunamgombania mkeo.
Gapko ni Nunez mweusi tu, kwa Liverpool ninayoijua mimi muda sio mrefu huyo mmakonde wa Netherland nae ataanza kutukanwa humu.Sasa wewe Fulana, Kisa mmekikosa kile ki gakpo ndio uwe na stress ivyo? hehehe na ngoja leo mkandwe kiutamuutamu matakataka nyie.
Hamna mkuu ni Varane na ShawKocha amwambie Lisandro aache ujinga..and where the f is Lindelof..ameumia tena??
Yaani leo beki za kati ni Casemiro na ShawView attachment 2460275