Raisi wa nchi ya Argentina Alberto Ángel Fernández Pérez amempongeza mno Lisandro Martinez kwa kuiwezesha nchi yake kutwaa kombe la dunia, Pia ameishukuru sana club ya Manchester United kwa mchango wake mkubwa wa kuwang'arisha wachezaji wa Argentina duniani, akitolea mfano wa Carlos Tevez raisi Fernández amesema anaandaa memorandum of understanding kati ya Argentina na United ili raia yoyote wa Argentina anapotaka kucheza soka nje ya nchi kipaumbele cha kwanza iwe kwenda kucheza soka kwenye club kubwa zaidi ya Manchester United.
Raisi Alberto Ángel Fernández Pérez alikua anaongea kwa hisia kali mpaka machozi yalikua yanamtiririka.
#Viva Lisandro Martinez
#Viva Manchester United
#Viva La Albiceleste