Nyie mambanga ndio mulijitapa muna kosi pana ndani ya timu ya mabishoo washinda saloon brazil hahaha kosi lenu pana limepanuliwa muna lipi la kusema sasa matakataka ninyi 🤣🤣🤣🤣
Machezaji yenu yanaenda kuharibu kwenye timu zao za taifa ..yani muna machezaji ya kifala sana eti Fred, Antony hahaha hawa wameigharimu Burazil kama wanavyoigharimu timu lenu hili la mchongo
Soccer Streams is the official replacement for reddit soccer streams, The best quality soccer streaming links available for all leagues and world Cup football streams!
worldcup.soccerstreams.net
Link zote utapata hapo mkuu, unaweza bookmark hio site, sema uwe na browser inayoblock matangazo.
mkuu Aaron Arsenal mimi usinichukulie serious sana, kazi yangu ni kuchangamsha tu jukwaa kwa utani wa hapa na pale, nalipenda zaidi lile jukwaa lenu maana halina tofauti yoyote na jukwaa la jokes/utani.