Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,218
Mkuu hili jukwaa la Man UMorocco washenzi Sana,,,baada ya kumtoa Spain walisema ule ushindi Ni kwa ajili ya waarabu wote na wamorocco!
Sisi ngoz nyeusi tunawashobokea,,, !
Morocco na ulaya Ni karb Sana ndo maana hawajioni Kama waafrica ! Nataka wachapike Kama ngoma !
Dua lako ni la kuku tu, kamwe halimpati mwewe.Morocco washenzi Sana,,,baada ya kumtoa Spain walisema ule ushindi Ni kwa ajili ya waarabu wote na wamorocco!
Sisi ngoz nyeusi tunawashobokea,,, !
Morocco na ulaya Ni karb Sana ndo maana hawajioni Kama waafrica ! Nataka wachapike Kama ngoma !
Kitoabu nimekufatilia unawapamba Morocco Sana, unatetea Sana hiyo Kauli ya Sufiane, je wewe mpemba au Muarabu wa Oman?Dua lako ni la kuku tu, kamwe halimpati mwewe.
Ninacho jua mimi Morocco inatokea Africa, hilo mpaka huyo Sufiane na wewe munalijua hilo.
Nibora niwashabikie hao, kuliko kuwashabikia wazungu kutoka bara tofauti na Africa.
Wapemba tumefanyaje tena?Kitoabu nimekufatilia unawapamba Morocco Sana, unatetea Sana hiyo Kauli ya Sufiane, je wewe mpemba au Muarabu wa Oman?
Huyu amenifanya niwaombee BRA dua mbaya kwasababu ya mbwembwe zakeMan u, Antony mmepgwa aisee.
Yaan hiyo michezaji ndio imesababsha brazil ikatolewa, sijui hat kocha kawaingiza ya nn.Dah Fred plus Anthony [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mimi itakua kajisahau kuweka za UTD.Chief-Mkwawa Hii application ulioiweka juzi naona leo imenigomea kuonyesha mechi ya manchester
Hakuna njia nyengine..
Hesgoal haifanyi kazi
Kipindi cha pili iko hewaniHata mimi itakua kajisahau kuweka za UTD.