£100m..Napoli na Lazio hawatakagi masihara.Hatari Sana mkuu ,,, !
Kuna huyu mwamba sergej mil-savic nilikuwa sijawahi kumtazama vizuri kule Italy,,, kwenye hizi mechi mbili za WC ndio nimemtizama kwa ukaribu zaidi ,,, anajua Sana aisee top top talent !
Timu kubwa hazimuoni ? Ama lazio wanammbania !
Bei ziko juu Ni Kama Levy anavyommbania kane,,, umri unakimbia anaanza kuchoka hajashinda chochote na maana, same kwa delcan rice na westham, hawamwachii kirahisi angalia hata addition walizofanya (pacueta + scammacca ) wanaonekana kuwa serious na project yao !£100m..Napoli na Lazio hawatakagi masihara.
Kila msimu huwa tunahusishwa nae.
vs XhakaCasemiro × Fred × Lucas , ngoja tuone hii mid ya samba boys !
Mkuu ungeweka hizo credible ambazo wewe huwa unapata taarifa za Man Utd. Sidhani kama ukiwa na credible source ambazo huwa "unazitumiaga" kuna haja mpaka upate muda wa kuzichungulia sehemu ndio uzitajeAisee, Men ni Credible source? Si gazeti la udaku hilo? Na sky ni average si Credible kivile na hawajareport, kama wamereport weka source. Nikipata muda nitaweka Tier 1 source za Man united zote, ama kama kuna mtu anao karibu aweke ila source kama Men ni takataka mkuu.
Ni kama Mtu wa uingereza Aseme habari za Diamond na source yake iwe gazeti la ijumaa.
Men inamilikiwa na Mirror, wanare use tu habari zao
Mkuu Men ni gazeti la udaku hii wikipedia yakeMkuu ungeweka hizo credible ambazo wewe huwa unapata taarifa za Man Utd. Sidhani kama ukiwa na credible source ambazo huwa "unazitumiaga" kuna haja mpaka upate muda wa kuzichungulia sehemu ndio uzitaje
Men hawamilikiwi na Mirror lakini Mirror na Men wanamilikiwa na kampuni moja
By the way siku zote MEN, BBC na Sky na vyombo rasmi vya United ndio vimekuwa vyanzo vyangu vikuu na havijawi kuniangusha
Sky & MEN wameripoti vyema kuhusu suala la kuuzwa kwa United.
Mkuu ungesaidia sana jukwaa hili kuweka vyanzo vyako ili utuongezee wigo wa sources zetu
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Hivi vyanzo huwa sikosi kupitia ,ukivijua hivi , hakuna mtu atakudanganya kuhusu habari za soka , si za Manchester , Chelsea, Arsenal au yeyote pale EPL na nje ya EPLMkuu Men ni gazeti la udaku hii wikipedia yake
Magazeti mengi ukiona Daily star, Daily Express, Daily Mirror, Daily record etc ujue ni baba mmoja mama mmoja na Men, asilimia kubwa ya habari zao ni uongo na wanatunga, ukienda Communities zinazojielewa huruhusiwi kupost link za haya magazeti.
Na umesema wamereport vizuri Tayari Apple na Ortega wenyewe wamekana huoni hawana Credibility? Hakuna Tier 1 hata mmoja wa Man utd kareport huoni ni habari za uongo?.
1. Tier 0 Manutd.com official webiste ya Man united.
2. Tier 1
Hawa habari zao hazina shaka kabisa ni Mouthpiece wa Club ama wana Connection za maana
3. tier 2
- Simon Stone (BBC)
- Simon Peach (Press Association)
- Craig Norwood (Club Photographer).
- James Ducker (The Telegraph/Numbers may be suspect)
- Henry Winter (The Times Chief of Football)
- Mohamed Bouhafsi (France)
- Paul Joyce (The Times/Liverpool/Everton)
- Kristof Terreur (The Guardian)
- David Ornstein (The Athletic)
- Arancha Rodriguez (Real Madrid/Spain)
- Sam Lee (The Athletic)
- Romeo Agresti (Juventus news)
- John Percy (The Telegraph/Midlands Clubs)
- Alan Nixon (for youth, and League clubs news)
- Laurie Whitwell (The Athletic)
- BBC (United Kingdom)
Hawa ni reliable ila habari zao mara chache zinaweza kuwa na walakin
Kuna Tier 3, tier 4 na wengineo wengi, ukichunguza hapo mfano Telegraph kama Gazeti ni tier 2, ila Muandishi kama Ducker ni Tier 1 japo anatoka Telegraph, hivyo muhimu habari itoke kwa muandishi husika. Unaweza wafollow Twitter ama ukatafuta Agregation ambayo inapost Quality material tu toka hao watu.
- Der Westen (Germany/Schalke/Gladbach/Dortmund)
- Kicker (Germany)
- De Telegraaf (Netherlands)
- COPE (Spain)
- Raphael Honigstein (Germany Freelancer/Guardian German News)
- Voetbal International (Netherlands)
- Fabrizio Romano (Guardian/Independent)
- Gianluca Di Marzio (Italians only, Tier 3 if not)
- Matt Law (Telegraph/Chelsea)
- Andy Burton (Sky Sports)
- Howard Nurse (BBC Editor)
- Charlotte Duncker (Goal)
- Loic Tanzi (French news)
- Caderna SER (Spain)
- RMC Sport (France)
- Ruhr Nachrichten (Germany)
- Telefoot (France)
- Lee Ryder (The Chronicle/Newcastle)
- Sami Mokbel (Daily Mail)
- Rob Dawson (ESPN)
- Paul Hirst (The Times)
- Andy Mitten (Various)
- RTP (Portugal only, Tier 3 if not)
- Sport1 (Germany)
- The Telegraph
- Mike McGrath (The Telegraph)
- Adam Crafton (The Athletic)
Huyu jamaa huwa anawaza records zake tu ,,,, mmbinafsi Sana, Bruno alipohojiwa khs goli alijibu kuwa Jambo la muhimu zaidi timu imeshinda haijalishi Nani kafunga !!!Naona Ronaldo anamaindi kunyimwa goli,kapewa Bruno...
Ubinafsi ubinafsi....hadi timu ya taifa