Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,222
Mkuu chukulia mfano wa kilayman kabisa.Boss, logic yangu ilijengwa katika hili ulilolisema "Lazima kuna deal la chini ya kapeti wameingia ili Bank ifaidike..."
Nakataa kuwa kuna dili chini ya kapeti. Hizo hela hazikuchotwa kinyume na taratibu, bali ni jinsi deal lilivyoingiwa toka mwanzo.
Mambo aliyoongea Ronaldo kuhusu Glazzer ni sawa, na sio kwamba hayajulikani mashabiki wa UTD wanayaongelea miaka na miaka. Old trafford kukinyesha mvua inavuja sio siri na kuna video kibao. Na sio kuvuja vitone maji yanatiririka kabisa kwamba unaoga.Kumbe kuhusu miundombinu kuwa chakavu Ronaldo alisema ukweli
Nadhani unajua valuation ya makampuni inavyofanywa.Mkuu deni roughly lipo vile vile sometime linapungua kidogo sometime linaongezeka kidogo.
Hili graph linaonesha deni kuanzia 2005
View attachment 2427202
2006 ilikuwa ni 590M na 2022 ni 620M, ukumbuke hili deni ni la Glazzer na sio la Man U wamehamisha hili deni kwenye timu kwa ajili ya Biashara zao Binafsi.
Ndio mkuu mnunuzi mpya anauziwa deni, moja ya sababu Chelsea imeuzwa bei rahisi ni sababu Abramovich amesamehe 1.8B kama kumbukumbu zipo sahihi ambayo alikuwa anawadai Chelsea, ila kwa United ni viceversa Atakayenunua deni linamuhusu.
Tayari ni kikwazo kuna watu wamejitoa sababu ya Deni, halimake sense, kuna kundi la washabiki wa united wenye pesa waliwahi kujichanga hadi 1.5B na kumtest Glazzer kama miaka 12 iliopita ila alikataa, kundi hilo naona kiongozi wake tayari amekataa valuation ya sasa na wamejitoa.
Inawezekana, ila wakati Chelsea inauzwa kulikuwa na kipengele kabisa kinaitwa Anti Glazzer, kwamba mtu awe na Cash, hakuna mambo ya kuweka madeni kwenye timu, so i hope Utd pia wataweka hiko kipengele na Mmiliki aingize hela kwenye timu n sio kutoa.
Na mkuu kuongezea Glazzer wanauza sababu timu inataka investment ya maana, sio tu hilo deni, Old trafford yenyewe inahitaji karibia £1B either ibomolewe ijengwe ama ufanywe ukarAbati mkubwa, bado viwanja vya mazoezi na miundombinu mingine, kifupi Glazzer hawajaboresha chochote toka 2005 club ipo vile vile, mpaka vitimu vidogo kama Leicester vina modern infrastructure.
So atakayenunua inabidi awe willing kuspend zaidi ya kununua UTD awe commited kujenga na miundombinu.
Ndio maana haimake sense kwa wanunuzi. Sijakataa kama deni ni inclusive na ukisoma vizuri nimegusia hicho kipengele.Nadhani unajua valuation ya makampuni inavyofanywa.
Hilo deni ni inclusive ya valuation.
Unaweza ku verify ufake wa hizi news?Ndio maana haimake sense kwa wanunuzi. Sijakataa kama deni ni inclusive na ukisoma vizuri nimegusia hicho kipengele.
Habari nyingi za wanunuzi wa UTD ni fake news tu, kama vile kunavyokua na tetesi za usajili zisizo na kichwa wala miguu wakati wa usajili.
Macrumors website maarufu ya Apple imekataa kwamba Apple anainunua UnitedUnaweza ku verify ufake wa hizi news?
Manake tunazipata kutoka kwenye credible sources.
Kuhusu Apple niliileta mimi kutoka Sky Sport. Hiyo daily star umeileta wewe.Macrumors website maarufu ya Apple imekataa kwamba Apple anainunua United
No, Apple Isn't Planning to Buy Manchester United
Apple is not currently planning to purchase Premier League club Manchester United, according to a source familiar with the matter. A report earlier today from British tabloid The Daily Star claimed that Apple had expressed an interest in buying Manchester United for around $7 billion, but our...www.macrumors.com
Source ya hii habari kwamba Apple yupo interested kununua UTD ni Daily star, gazeti lenye hadhi kama ya Uwazi na kiu.
Pia Ortega mwenyewe amejitokeza kwamba hayupo Interested kuinunua UTD.
1. Ukisoma tu hicho kichwa cha habari cha sky kuhusu Apple hakimaanishi Apple wana interest na Utd bali Sky wanadiscuss report, same ukiskiza Video hakuna hata sehemu moja Muandishi amesema kwamba wao Sky wamereport hii issue bali anadai ni report from somewhere else, kama una credible source sky wameclaim hii weka hapa, as far as i know ni daily star ndio waliosema.Kuhusu Apple niliileta mimi kutoka Sky Sport. Hiyo daily star umeileta wewe.
Macrumours sio official channel ya apple kutoa taarifa, ni kijarida kinafuatilia rumours tu zinazohusu apple & its products. As of now hakuna sehemu apple wamekubali au kukataa.
So hoja yako bado haina mashiko.
Kuhusu Zara hakuna sehemu credible waliyokanusha.
Vipi kuhusu Saudia? Nazo ni taarifa feki?
View attachment 2427535Saudi Arabia wants its investors to own Manchester United and Liverpool
Sports minister Prince Abdulaziz bin Turki Al-Faisal revealed the countrys latest sporting ambitions in an interview with Sky News - with the sovereign wealth fund already owning Newcastle and now funding LIV Golfwww.skysports.com
Manchester Evening News (MEN) moja kati ya credible source kuhusu habari za United na Sky Sports wameripoti kuhusu Ortega na Apple ku explore possibility ya kununua klabu ya UnitedMacrumors website maarufu ya Apple imekataa kwamba Apple anainunua United
No, Apple Isn't Planning to Buy Manchester United
Apple is not currently planning to purchase Premier League club Manchester United, according to a source familiar with the matter. A report earlier today from British tabloid The Daily Star claimed that Apple had expressed an interest in buying Manchester United for around $7 billion, but our...www.macrumors.com
Source ya hii habari kwamba Apple yupo interested kununua UTD ni Daily star, gazeti lenye hadhi kama ya Uwazi na kiu.
Pia Ortega mwenyewe amejitokeza kwamba hayupo Interested kuinunua UTD.
Msemaji wa Apple kakanushaManchester Evening News (MEN) moja kati ya credible source kuhusu habari za United na Sky Sports wameripoti kuhusu Ortega na Apple ku explore possibility ya kununua klabu ya United
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Aisee, Men ni Credible source? Si gazeti la udaku hilo? Na sky ni average si Credible kivile na hawajareport, kama wamereport weka source. Nikipata muda nitaweka Tier 1 source za Man united zote, ama kama kuna mtu anao karibu aweke ila source kama Men ni takataka mkuu.Manchester Evening News (MEN) moja kati ya credible source kuhusu habari za United na Sky Sports wameripoti kuhusu Ortega na Apple ku explore possibility ya kununua klabu ya United
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Negativity kwa media uchwara? Ni kama tu wakati wa usajili media zinatumia jina la Man U ku generate views, wanatunga habari zisizo na kichwa wala miguu.Kwa hiyo Chief-Mkwawa hoja yakoni ipi haswa?
Na unachotaka kama mshabiki wa United ni nini?
Why thIS negativity over the team that you claim to support?
As a fan, no matter the price or the buyer, as we long United gets out of the Glazers, that is ALL I WANT.
SawaNegativity kwa media uchwara? Ni kama tu wakati wa usajili media zinatumia jina la Man U ku generate views, wanatunga habari zisizo na kichwa wala miguu.
As far as i understand watu pekee waliojitokeza na interest za kununua Man U ni Sir Jim Ratcliffe na Martin Oneill wa Red knight, wote hawa kwa vipindi tofauti walitangaza hadharani.
Pia wote hawa wameikataa hio valuation ya Glazzers,
Na sababu hatuwataki Glazzer haimaanishi tuchukue akili zetu tuweke mfukoni tuamini kila tunachokiona online.
Apple isn’t planning to buy #mufc. [@rsgnl]Aisee, Men ni Credible source? Si gazeti la udaku hilo? Na sky ni average si Credible kivile na hawajareport, kama wamereport weka source. Nikipata muda nitaweka Tier 1 source za Man united zote, ama kama kuna mtu anao karibu aweke ila source kama Men ni takataka mkuu.
Ni kama Mtu wa uingereza Aseme habari za Diamond na source yake iwe gazeti la ijumaa.
Men inamilikiwa na Mirror, wanare use tu habari zao
Jamaa hataki shobo wala mihemko. Amepiga penye ukweli na kuondoka zake.Apple isn’t planning to buy #mufc. [@rsgnl]
Maelezo ya huyo reporter wa Apple , account yake Twitter Ni @rsgnl
For #ManUtd fans landing on my profile today: I'm an Apple reporter, not a sports reporter. Feel free to roast me if you don't believe me, but I have it on very good authority that Apple is not planning to buy the club. Sorry to ruin the fun! 🥲
Matajiri hawafanyi biashara kwa hisia au kiswahili swahili..Lkn ten Hag atapona akija tajiri mwingine??
Nahisi mzimu wa chriatiano utamsumbua.