juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,949
- 5,430
Hiyo ni kama 3.7B katika dollar, inaweza kuwa hela nyingi ila kumiliki tim kwenye premier league tena Club like Man Utd sio bad investment. Moja ya club 3 dunian zenye fanbase kubwaKununua United kwa £4B ni bad investment unless uwe mfanyabiashara na shabiki wa United.
Hapa kuna vitu Viwili kuna Thamani ya Club na Faida ya investment.Hizi ni biashara tusiongee kishabiki.
Chukua mfano United total profit yake last season ni £150m na Newcastle United ni £47m.
Halafu ununue United kwa £4B au zaidi bado ufanye investment kwenye infrastructure + players siyo chini ya £1.2B hapo kwenye £4B sijui kama inalipa na deni benki. Wakati huo kuna timu kama Newcastle imenunuliwa kwa £300m na inatengeneza faida ya £47m na kuna possibility ya ongezeko la mapato.
Ukipiga hesabu ni nani atakuwa kafanya biashara ya maana ambayo in 10 years ana faida ya kutosha na on top of that anaweza kuiuza club kwa thamani ya juu?!
Uzuri we jamaa huwa upo real ,Kwani mkuu miaka 15 ama 20 iliopita Man city si alikuwa anacheza Championship?
The Investment Corporation of Dubai are in the running to buy Manchester United.
[Chris Winterburn]
#RonaLdoFinallYOUT
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2425486
Watanzania wengi hawajui mpira, na kuna kundi la hawa waliofuata mpira kwa sababu ya betting ni tatizo kubwa zaidi.Mpira haupo hivo, nowdays ufungaji wa magoli Ni mgawanyo wa wote had Viungo,
Chelsea walikuwa wanasema wanakosa CF tu ili wabebe epl na wawe timu yakuogopwa ,wakaenda sokon wakatoa £100m kwa Lukaku, kilichotokea unakijua
Unaweza kumleta Halland hapo man u akawa mzururaji tu ,
Nowdays hauhitaji CF ili ufunge magoli, Pep na Klopp miaka mitatu hii walikuwa wanagonga 100 goals bila hao CF,
Arsenal ya Sasa haina typical no.9 ,Lakini inafunga magoli for fun,
Unaweza kwenda sokon ukamleta CF akaja akawa mzururaji, hata Halland ukimuangalia bila kuwekewa mfumo sahihi anakuwa mzururaji, Kuna mechi anagusa mpira mara 7, 8
Urafiki wa Saudi Arabia (Nchi za kiarabu) na USA ni wa kinafiki na wa kimaslahi.
Siku USA akimchoka msaudia atapigwa ban kwenye kila kitu.
Man u kuwa salama itafute tajiri mpya mwenye urafiki wa kudumu na USA.
WapeweICD are seen as a front runner and have a "net worth" of $305bn dollars.
Sir Jim Ratcliffe is also preparing to make the bid to buy Man United.
#RonaLdoFinallYOUT
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2425908
Saudia ni strategic partner wa USA.Urafiki wa Saudi Arabia (Nchi za kiarabu) na USA ni wa kinafiki na wa kimaslahi.
Siku USA akimchoka msaudia atapigwa ban kwenye kila kitu.
Man u kuwa salama itafute tajiri mpya mwenye urafiki wa kudumu na USA.
Glazzer wanataka 7B, sasa hivi kila Bilionea tunahusishwa nae.