Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba yupo wapi? Lukaku?

Eti ronaldo ni taasisi. Mbwa yule aende Aston Villa kama atafahamika tena.

Fan base ya Man Utd inambeba kila mtu hata Manula akacheze huko. Kesho ni brand ya kimataifa.
 
Hata Glazers wanazidi kupewa presha ya kuachia timu. Na wataiachia tu.

Ronaldo anachoongea hakina jipya zaidi ya kumtukana Kocha.

Msenge sana yule jamaa.
 
[emoji599][emoji599][emoji981]| Cristiano Ronaldo: ‘In my opinion it will be hard to imagine #mufc at the top of the game in the next 2-3 years.’ [@PiersUncensored]
 
[emoji599][emoji599][emoji981]| NEW: Cristiano Ronaldo: "The Glazers DO NOT care about #mufc." [@PiersUncensored]
Huyu jamaa hajui matajiri walivyo mafia nini anabeza uwekezaji wa watu kizembe zembe namna hio
 
Dawa yake ni kuendelea kubaki hapo, halafu hakuna kupangwa mechi yoyote, ili aondoke bure mkataba wake ukiisha. Amejilipua ili United wavunje mkataba, ambapo ikiwa hivyo itabidi alipwe!

Hii ndiyo dawa, mpaka mkataba uishe
Ni bora Man U ikamuachia akaenda zake kuendelea kumlipa pesa ya bure ni ujinga. Real Madrid tulifanya hivyo kwa Gareth bale mpaka msimu ulioisha jambo ambalo halikuwa na faida yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…