Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu shida ya United ipo ndani wewe ukimuangalia Ronaldo huhisi kwamba anareact kutokana na anavyotreatiwa United?
 
CR7 ni binadamu mbinafsi aliyewahi kutokea ulimwenguni

Kwake kila kitu ni kuhusu yeye, hajali klabu, hajali wachezaji wenzake

Anaamini yeye ni mkubwa kuliko klabu, anaamini anaweza kuishurutisha klabu

Alilazimisha kuondoka kwenye dirisha lililopita, leo anakuja na stori klabuni hawamtaki

Kwa kauli zake anaonesha hakumuheshimu Ragnick, na sasa ana mu undermine Ten Hag kocha anayeijenga timu

Cr7, ni adui namba wa United kwa sasa
 
Man u ina matatizo na watu hawataki kuambiwa ukweli
Mwisho wa cku CR7 kasema ukweli ili timu ipone matokeo yake watu wanamshambulia CR 7
Cjui vichwan mwa watu kuna nn? Mtu anajifanya kuijua man u kuliko CR7 mwenyewe
Hata kama aliyo yaongea ni sawa ila alichoboronga ni hapo kwenye kumlalamikia kocha wake kua hamuheshimu na yeye pia hawezi kumheshimu.
Ngoja tusubirie hio full Interview, maana kipindi cha pre-season aliwalalamikia waandishi wa habari wa Uingereza kua wanamzulia uongo.
 
Nimempongeza EtH kwa kuhakikisha nidhamu inakuwepo kwenye timu na timu inakuwa moja bila kujali ukubwa wa mchezaji. Ronaldo alitaka awe mkubwa kuliko Kocha na hilo sio sahihi.

Tatizo la uongozi wa club lipo na linajulikana lakini halihalalishi mchezaji kutokuwa na nidhamu kwa Kocha,wachezaji na timu nzima.

Ronaldo ana mkataba pale kama mchezaji, angetimiza wajibu wake kwanza ndio aanze kiherehere.

Yani kocha yupo huko anajenga nidhamu na roho ya kujituma kwa wachezaji, yeye anahaha kwenye media kumvunja kocha moyo pamoja na wachezaji wenzake? Halafu unasema tatizo la club?

Ronaldo ni mbinafsi, anaangalia Records zake binafsi, hizo ni hasira za kuwekwa bench. Yeye hata kama anajua ni mzigo kwa timu hajali, anataka apangwe tu Records zake zitimie.

Mtu analalamika hata aibu hana, amekuja Cavan anajituma kuliko yeye ila kwa heshìma akavuliwa jezi aķapewa yeye, anataka heshima gani tena?
 
Mpumbavu huyu, dirisha kubwa alitaka kuondoka ila management ikamkazia ndio maana ameamua kuisagia kunguni kipindi hiki ili dirisha dogo likifunguliwa tu aruhusiwe asepe.
Shida inakuja ni timu gani inayo muhitaji kwa sasa?
Hao mashabiki wanaomtetea humu wakisikia timu yao inataka kumsajili wanaanza kupiga kelele kua hawataki kirusi ndani ya timu yao.
 
Acha kuongea makalio basi Ronaldo atabaki kuwa Legend kapike maandazi mtaani kwenu
 
Kijana Ronaldo ni Mkubwa kuliko Ten Hag kiuchumi,Makombe,pesa,kapitwa kila kitu na Ronaldo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] uzuri Sindano imewaingia hehehehehe
 
Acha kuongea makalio basi Ronaldo atabaki kuwa Legend kapike maandazi mtaani kwenu
Mkuu hauwezi kukomenti kwa staha .? Huwezi kukaa bila kutukana .??

Ndio maana arsenal wenzio wanakuona mamluki !

Nyie vijana sijui mna matatizo gani, kazi Ni kutukana tu kwenye mitandao au una stress za maisha ?

go get your life buddy, kenge Kama wewe unakula block tu
 
Watu wamekasirika kumtaja ETH. Kwamba hamuheshimu kocha.

The rest hakuna mtu mwenye shida nae.
 
Kuna mtu anakwambia Ronaldo ni taasisi.

Siku aondoke Man Utd uone kama kuna timu ya maana itamtaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…