Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Oya Flano CR 7 kawachanachana

[emoji2788]| Cristiano Ronaldo: “I think the fans should know the truth. I want the best for the club. This is why I come to Manchester United. But you have some things inside [the club] that don’t help us reach the top level as Man City, Liverpool & even now Arsenal.” [@PiersUncensored]


[emoji2788]| Ronaldo: “A club with this dimension should be top of the tree in my opinion and they [Man United] are not unfortunately.”
 
Huwa nashangaa sana mtu akiweka matumaini kwa mpumbavu kama Rashford, hana akili ya mpira, ni mbahatishaji tu huyu.
Man u tunaangushwa na forward kifupi hatuna forward I mean Rashford na Martial sio forward wakuwategemea wanapaswa kutokea sub. Mtu kama Grenwood na Gernacho wanapaswa kuanza ni vile tu Greenwood anamatatizo ila ile ni machine.
 
Mkuu tuna academy bora tutawatoa huko warithi humuoni Gernacho?
 
Benzema ameanza kuonekana baada ya Ronaldo kuondoka.
 
Ujasiri upi wakati kaongea FACTS bila kupapasa macho
Ten hag kashaonesha ujasiri long time wa kutompanga kikosini,huo ndo ujasiri na mwanaume ni vitendo sio kubwabwaja,Ten hag kaonesha kwa vitendo kwamba hamhitaji Ronaldo.
Ronaldo nae angekua kidume angeperfom uwanjani ili aweze kutetewa na wengi.

Japo kwa upande wa viongozi kuna baadh ya vitu kaongea vina ukweli,Glazer wapo kibiashara na nna wasiwas wanaweza kumuangusha Ten hag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…