Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kabisa. Nilikuwa naongea na jamaa mmoja hapa kuhusu kutuliza mtu anapiga kichwa hovyo sana.
 
KUNA MTU ANAWEZA KUNISAIDIA ANIAMBIE KWA NINI HUYU KOCHA NI MJINGA KIASI HIKI. GARNACHO, TOMINAY, FRED...SIJUI KWA NINI HAWAANZI ILI TUANGALIE MECHI KWA RAHA. BIA YANGU SASA HAPA NAKUNYWA KWA SHIDAAAA
Boss, sasa wewe si Glazers wangekupa timu? Kocha yupo na wachezaji kila siku Carrington, hatuwezi kujua zaidi yake.
 
Moto tumepelekewa mwingi mnoo
Ngoma tumechezeshwa vyakutosha
Pongezi kwa baadhi ya wachezaji mfano mimi nampongeza Malacia ambae juhudi zake uwez kuzsikia midomoni lakini dogo kakata Umeme kapangua pasi nyingi sana zilizokua zinaelekea golini..Ericksen,,Gernacho aisee katuokoa sana kilio changu kwake ni kilekile STAMINA dogo hana nguvu kabsa ata pale kasukumwa kidogo tu akapaa kulee
 
Hili litimu litakuja kutuua kwa presha.
Japo tumepata point 3 ila muda wote roho mkononi.
Wachezaji wetu wakishapa goli la kuongoza hua wanarelax sana wanajiona tayari wameshamaliza kazi yao nyumbu kabisa hawa.
Boss, ukijua kwanini kuna 'Fergie time' huwezi kushangaa hili!
 
Lisandro na DeGea unawaacha wapi?

Leo tulikuwa tunafungwa si chini ya goli 3.
 
Kingine mmeona kusajili mchezaji anayeforce kuja ina msaada, Martinez, Anthony, malacia watu bana.

Ericksen na casemiro wanasaidia kutoa depth na kuondokana na mcfred


Forward anunuliwe ambaye anataka acheze man u.

Ronaldo kwa heshima asepe January.


Hii world cup Portugal shauri yao Ronaldo ndie atakua tatizo kwao

Akimeza ustaa awe mtu wa kuwamotivate from bench awe anaingia second half naona wanaweza fika mbali.

Sasa akiwa uwanjani wachezaji watakua wanampa pass kuepusha lawama.

Akikabwa kwisha.
 
Huenda timu ya taifa akang'aa kama vile sio Ronaldo wa Man United.
Binafsi namuombea ang'ae ili kuvutia timu nyingi kuhitaji huduma yake kwenye dirisha dogo.
Asipong'aa na timu ya taifa hakuna timu yoyote itakayojitokeza kumuhitaji January.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…