Na Unai kaweka wale wale kina Ramsey,Watkins waliotukaanga uyu kipa wetu aoneshe unahiri pangine atakua anapewa nafasi ata game kubwakubwa..yote kwa yote acha Tuone boli tuache kujifanya wajuvi zaidi ya kocha
Dogo mpira damuni ila Shida ni ileile MLAINI sanaaa afundishwe ubandidu yaani ukimchezea kiatu anawewe kwan Gavi na Pedri wamepataje Golden boy ebu ajifunze kwa Foden sema kanawakaanga sana ila injury kugusa