Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
Hata goli la kwanza kaacha gap kubwa anamkibiza mchezaji badala hata ya kumuweka chini iwe foul anaacha anatoa pass inayozaa goli...hatuna mabeki kabisaHayo makosa huwa anayafanya kwa kurudia rudia, yeye na magwaya
Tielemans ni mchezaji wa arsenal.James maddison
Ousmane dembele
Dayot upamecano
Jude bellingham
Youri Tielemans
Kwa nini hatuwaoni!!?? HII TIMU IMEROGWA
Upo sahihi kabisa ila Fernandes muache.Mart
Martial na Rashford wote ni wavivu hawapress ata kama vijana...Ronaldo kachoka ndio
Ila hii timu ata Haaland akija atapata sana shida kufunga
We imagine dakika 90 hakuna clear chance yoyote iliyotengenezwa...hakuna cross yoyote iliyopigwa na kuleta taharuki...kona sijui 5 hakuna hata moja yenye matokeo
Goli lenyewe la kujifunga
Hii timu wachezaji kama kumi inabidi waondoke
1. Maguire
2. Lindelof
3. Fred
4. Mc tominay
5. Rashford
6. VDB
7. Elanga
8. Ronaldo
9. Sancho
10. Fernandes
Not good enough
Wawaotee mmechaniwa packet ya dume kabisa, mlishalainika nyieNilivyoona tu kikosi nilijua kitachotokea sijui kwanini kocha kamuacha fred nje dhidi ya DVB.
Ok next game aston villa wanakuja OT Alhamis tutajua wametuotea au mbinu hatuna.
Sasa we jamaa unadhani mimi kusema waondoke hapa watanisikiliza huko UlayaYaani unaongea tu! Watu wameajiliwa ofisini mwao we unasema waondoke, kama we ndo muajiri
Hii nchi ngumu sana
Mkuu..fernandes ukiacha ule msimu wa kwanza siku hizi analalamika sana zaidi ya kucheza...hakuna assist au mchezo mzuri...Upo sahihi kabisa ila Fernandes muache.
Sijui kwa nini kipa habadiliki...Mimi maoni yangu.
Ronaldo sasa ni muda wa kuanzia benchi, hamna anachooffer.
Zile kelele ilitakiwa Ten Haag akaze, hakuna kumpa minutes za kuboroga.
Sasa hivi mentality ya Ronaldo ni afunge approve wrong watu.
Duh! Hamna cha team work tena
Lindelof *****, shenzi sana. Yaani unasindikiza mtu mpaka boksi hata hujaribu kumsukuma au kumfanyia tackle ili apoteze balance?
Lindelof sio beki bora apelekwe CDM awe analisha mipira mirefu mbele.
Kocha nae aache ukuda, awe anaweka watu hitajika siku ya mechi, kina Fred, ikiwa gemu ngumu
Kingine wakuu, nadhani nyie hamkuona ila DE GEA katuchoma leo.
Goli la kwanza, na Freekick, si ni juzi hapa alifanya impressive saves.
Alafu kipa awe anafanyiwa hata rotation kutoa challenges bana
Improvements gani zipo? Hakuna kitu ushindi tunapata wa ndondokera hamna lolote, mpira tunaocheZa hauna malengo yoyote yaani tunapooza tu mpira wapinzani wakipata mpira ni presha tu hata tukifungwa sawa kitu tunataka kuona ni mpira unachezwa wa kueleweka kama hatuchezi mpira nzuri hata ushindi hauna maana kwetu, naanza kupoteza imani na ETH
ukiwa HunA Ela wachezaj wazuri wanaonekana, zikiwepo wanayeyuka[emoji23]James maddison
Ousmane dembele
Dayot upamecano
Jude bellingham
Youri Tielemans
Kwa nini hatuwaoni!!?? HII TIMU IMEROGWA
Yah ni kweli...lakin kinachojengwa ni kipi na huku mambo ni yale yale yanajirudia mechi hadi mechi...ukiangalia mechi za hivi karibuni utd wanastrago sana kufungaMuache kocha ajenge team, kwanza huu msimu sina cha kumdai kocha wala hao wachezaji kwenye EPL labda ueroper huko angalau wafike nusu au fainali.
Umeongea pointi sana...mechi tunazoshinda ni za kinaga ubaga. Kina shaw na dalot wanafika juu wanarudisha mpira kwa CB kisha unazunguka duara tu...hakuna penetration pass yoyote ya kuaminika hakuna chance zinazotengenezwaImprovements gani zipo? Hakuna kitu ushindi tunapata wa ndondokera hamna lolote, mpira tunaocheZa hauna malengo yoyote yaani tunapooza tu mpira wapinzani wakipata mpira ni presha tu hata tukifungwa sawa kitu tunataka kuona ni mpira unachezwa wa kueleweka kama hatuchezi mpira nzuri hata ushindi hauna maana kwetu, naanza kupoteza imani na ETH
Siku Ronaldo akiondoka wengi mtakumbuka aina ya mchezaji tuliyekuwa naye. Striker, goalscorer, GOAT, goal machine. 'No service, no goals.' Old Trafford hata umlete Haaland utaishia kutukana tu tumepigwa.
Mchezaji kama Bruno mnamlaumu bure tu ila naamini influence ya mazingira aliyokutana nayo klabuni yameshusha kiwango chake.
EtH ni kocha atakayerudisha zama zetu, kitu kinachodhihirisha hilo ni kwasababu ameweza kuleta wachezaji wenye manufaa kwa timu yetu. Suala la kusema leo kazingua kufanya sub hiyo ni mitazamo yetu tu, hata yeye ni binadamu anafanya kitu anachoamini na kukosea kupo tu.
"In football you don't deserve, you win or lose."