Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi ni kwamba jamaa hamuamini fred kabisa ama?? Maana ni mara mia 600 kuliko van asee yani leo kuanzia mbele ronaldo, rash, van, nacho,erick sio watu wa kukaba kabisa yani sijui tunachezaje hii mechi.

Dah wacha nikaangalie tu labda watafanya jambo.
 
KUNA WATU BADO HAWAJAONA UBAGUZI ULIOPO HAPO. TUTAKIMBIZWA SANA....
 
Hii mechi ina viashiria vya kufungwa fungwa hii kama tutaendelea kucheza hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…