Ninacho kukubali mdogo wangu hauna dachi, kwenye utani unatania kwenye ukwi unaongea.Anataka zimamoto hajui Ni process had timu ianze kucheza kwa kuelewana
Mpira wa bongo umetuharibu Sana,
Mfano Yanga walitakiwa wawekeze Tena kwa kuondoa takataka ,then Baada ya misimu miwili wangecheza hata makund CAF,
Sasa kwakuwa soka la Africa halina project tumezoea kutaka zimamoto ,Basi tunataka na ulaya hivo hivo kitu ambacho sikweli
Kwa Ten hag Kuna mabadiliko Tena hasa defense , hatua kwa hatua atafikia had ushambuliaji .
Katika mashabiki wa Arsenal wa JF huyu jamaa ni namba moja ninaemkubali, hua kabla hata ya kusoma post yake cha kwanza lazima ni like then ndio niendelee kuchota busara zake.Ninacho kukubali mdogo wangu hauna dachi, kwenye utani unatania kwenye ukwi unaongea.
Rashford or CasemiroTough one..lakini acha niende na Martinez..
Amefanya tuiamini backline yetu kwa kiasi fulani.
View attachment 2404859
WACHEZAJI WEUSI HAWANA NAFASI HAPO..UNITED YETU NAONA INA KA-UBAGUZI KWA SASA, FUATILIA UTAGUNDUA.Tuoneni aibu jamani, yaani AWB wa kukaa benchi kweli?
Bado kuna mtu atakuambia hakuna mabadiliko, hawa wala mihogo hawa wana mambo kwelimara ya mwisho kufungwa goli kwa open play ilikuwa dhidi ya everton.
chelsea walitufunga goli kwa njia ya penalty
everton 1 - man utd 2
man utd 1 - omonia 0
man utd 0 - newcastle 0
man utd 2 - tottenham 0
chelsea 1 - man utd 1
man utd 3 - sheriff 0
man utd 1 - west ham 0
real sociedad 0 - man utd 1
Sio tu hawana nafasi bali pia wengi wao hawana uwezo, lkn pia wapo wachache.WACHEZAJI WEUSI HAWANA NAFASI HAPO..UNITED YETU NAONA INA KA-UBAGUZI KWA SASA, FUATILIA UTAGUNDUA.
How about Malacia?WACHEZAJI WEUSI HAWANA NAFASI HAPO..UNITED YETU NAONA INA KA-UBAGUZI KWA SASA, FUATILIA UTAGUNDUA.
Anabaguliwa na nani ?WACHEZAJI WEUSI HAWANA NAFASI HAPO..UNITED YETU NAONA INA KA-UBAGUZI KWA SASA, FUATILIA UTAGUNDUA.
tatizo sio rangi ya ngozi tatizo ni uwezo uwanjani... kwa fikra hizi Maguire angekuwa mweusi mngesema anabaguliwa... Yorke na Cole wote ni weusi na hadi leo wanaheshimika kutokana na uwezo wao. rashford malacia na elanga ni weusi wengine waanaopewa nafasi Kubwa ya kutambaWACHEZAJI WEUSI HAWANA NAFASI HAPO..UNITED YETU NAONA INA KA-UBAGUZI KWA SASA, FUATILIA UTAGUNDUA.
Nilitaka niandike hivi sema nikaona hata hao uliowataja 90% wana uwezo mdogo lkn bado wanacheza, sasa ARVnew cjui anamaanisha nini anaposema weusi wanabaguliwa.Anabaguliwa na nani ?
Mallacia ni mweupe ?
Rashford ni mweupe ?
Fred ni mweupe ?
Varane ni mweupe ?
Elanga ni mweupe ?
Vipi kuhusu Martial??
Itakuwa ni huzuni sana in Kunze's voice..kama hatutamaliza top four.Tuache utani top four is a must
Yes itkua huzuni tukikosa but mimi nitakua sina shida hata tukikosa as long as timu itakua imeimprove kwa baadh ya maeneo yaliyotusumbua miaka mingi,hasa kiungo na defence.Itakuwa ni huzuni sana in Kunze's voice..kama hatutamaliza top four.
Chelsea tia maji,Liverpool tia maji,Spurs always being Spurs..
Top four is a must..EtH asicheke na kima.