D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Nafikiri ishu ni fitness ya mwili, pellistri alikuwa majeruhi kwa takribani miezi mitatu.Nisaidie kujua kwanini Elanga upande wa kulia kama mbadala wa Anthony badala ya Pellistri ambaye binafsi namuona kiuwezo yuko juu ya Elanga?
Ukisikia uchawi ndio huuNiwakumbushe tu, tofauti na ushindi wa tofauti ya goli 3 mtabaki nafasi ya 2 hivyo mjiandae na play-off dhidi ya timu zinazotoka UEFA.
Assist from Ronaldo.GARNACHOOOOOOOOO
1-0
Yupo mbele na ronaldo km mshambuliajiHivi Magure ameingia anacheza namba ngapi?
Mbona sielewi hii planYupo mbele na ronaldo km mshambuliaji
Sijui kocha anajaribu nini, Maguire center forward leo, dahGemu ya pili hii kocha anabugi kwny team selection